Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kopunovic kutumia mbinu za Barcelona kuiua Azam FC

Kocha Mkuu wa Simba, Mserbia, Goran Kopunovic. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Simba, Mserbia, Goran Kopunovic, hatalinda goli lake wakati atakapowavaa wapinzani wake, Azam FC na badala yake atatumia mfumo wa kushambulia mwanzo mwisho.Aina hiyo ya uchezaji, inatumiwa sana na klabu ya Barcelona kwa kushambulia na kupiga pasi nyingi kati ya dimba, inayojulikana kwa jina la ‘Tik Taka’. Akizungumza na Championi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mbinu sahihi kuiua Malawi

Ni vita ya marafiki na mbinu sahihi ndiyo itaivusha Taifa Stars dhidi ya Malawi leo.

 

9 years ago

Mwananchi

Azam yaandaa mikakati ya kuiua Simba

Klabu ya Azam imeanza mikakati ya kuifunga Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu mwezi ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA: Yanga kutumia mbinu za Al-Ahly

>Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema kikosi chake kipo tayari kwa vita na kuahidi kucheza soka la kushambulia muda wote dhidi ya  BDF XI ya Botswana.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Simba aiga mbinu za Azam

Mafanikio ambayo klabu ya Azam imeyapata kwenye mashindano ya Kombe la Kagame mwezi uliopita kwa kucheza mechi sita bila kuruhusu bao, yameishawishi Simba kuiga mfumo huo.

 

5 years ago

Michuzi

KITUO CHA UTAFITI WA KILIMO-SAT WATOA MBINU YA KUKABILIANA NA VIWAVIJESHI KWA KUTUMIA MIMEA

Mwandishi Mussa Juma akiwa ameshika jani na kunusa harufu yake, Jani hilo nalo hutumika kuua wadudu wanaoharibu mimea ya mazao shambani

Meneja wa Kituo cha Utafiti wa kilimo ambacho kinamilikiwa na Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) Frank Marwa akielezea hatua nne za ukuaji wa viwavijeshi ambaye ni moja ya wadudu waharibifu wa mazao shambani.
Frank Marwa ambaye ni Meneja wa Kituo cha utafiti wa kilimo akiwa ameshika jani la mpapai ambalo nalo hutumika kuua wadudu wa haribifu wa...

 

10 years ago

GPL

Kopunovic amtaja aliyeimaliza Simba

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic. Na Hans Mloli BAADA ya Simba kufungwa mabao 2-1 na Mbeya City, juzi Jumatano katika Ligi Kuu Bara, Kocha wa Simba, Goran Kopunovic, amefunguka kuhusu sababu zilizochangia kipigo hicho huku akimtaja mchezaji mmoja kuhusika. Kocha huyo raia wa Serbia ametoa tamko juu ya mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa kwa kusema kuwa kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wake, hasa Said Ndemla...

 

10 years ago

Mwananchi

Kopunovic azuia kambi Simba SC

 Kocha Mkuu wa Simba Goran Kopunovic ametoa uamuzi uliowafurahisha wachezaji wake baada ya kuamrisha kuwa timu hiyo iingie kambini kesho badala ya jana jioni kama uongozi wa timu hiyo ulivyopanga.

 

9 years ago

Mtanzania

Wanachama Simba wamtaka Kopunovic

kopunovicNA BARAKA JAMALI, MTWARA

WANACHAMA wa klabu ya Simba Mtwara, wameuomba uongozi wa timu hiyo umrudishe kocha wao wa zamani, Goran Kopunovic, ili kuweza kuirejesha heshima ya timu hiyo ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, wanachama hao walisema kuwa uongozi wa timu hiyo umekuwa ukibadili makocha kila mwaka jambo ambalo limewasababishia kufanya vibaya katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki, pia kumfukuza kocha mzuri...

 

10 years ago

GPL

Kopunovic: Tambwe ni hatari aisee

Mchezaji wa Yanga, Amis Tambwe. Na Sweetbert Lukonge, Zanzibar
KOCHA Mkuu wa Simba, raia wa Serbia, Goran Kopunovic, amewashangaa viongozi wa klabu hiyo kwa kumuacha Amissi Tambwe kwenye usajili uliopita.Simba waliachana na Tambwe kwenye usajili uliopita kwa kile walichodai kuwa, ameshuka kiwango pamoja na kwamba msimu mmoja tu nyuma aliwapa heshima ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Tambwe baada ya kuachwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani