Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KITUO CHA UTAFITI WA KILIMO-SAT WATOA MBINU YA KUKABILIANA NA VIWAVIJESHI KWA KUTUMIA MIMEA

Mwandishi Mussa Juma akiwa ameshika jani na kunusa harufu yake, Jani hilo nalo hutumika kuua wadudu wanaoharibu mimea ya mazao shambani

Meneja wa Kituo cha Utafiti wa kilimo ambacho kinamilikiwa na Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) Frank Marwa akielezea hatua nne za ukuaji wa viwavijeshi ambaye ni moja ya wadudu waharibifu wa mazao shambani.
Frank Marwa ambaye ni Meneja wa Kituo cha utafiti wa kilimo akiwa ameshika jani la mpapai ambalo nalo hutumika kuua wadudu wa haribifu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mgomo baridi wa usafiri BAADA YA DALADALA DAR ES SALAAM KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE NA KUTUMIA CHA MAKUMBUSHO

  Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita kituo cha Mwenge jijini Dar es salaam bila kusimama, ikiwa ni siku ya kwanza wasafirishaji hao kuamriwa kutumia kituo cha Makumbusho ambacho inaelekea hawaafiki.  Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote  Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi kikiwa Kitupu Muda huu  Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja  Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge  Eneo ambalo...

 

5 years ago

Michuzi

WAKULIMA MAZAO YA VIUNGO WATOA OMBI KWA SERIKALI , SAT WAELEZA WANAVYOSAIDIA KUTAFUTA SOKO LA UHAKIKA


Baadhi ya wakulima wa kilimo hai mkoani Morogoro wakiwa katika moja ya mkutano wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayohusu kilimo hicho ambapo wametumia nafasi hiyo kutoa ombi kwa Serikali kuanzisha bodi ambayo itahusika kusimamia mazao ya kilimo hai yakiwemo mazao ya viungo ambayo yamekuwa yakilimwa na baadhi ya wakulima ambao wako chini ya mradi wa unaosimamiwa na Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT).
Mkurugenzi Mtendaji wa SAT Janeth Maro akifafanua jambo kwa waandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

TCAA WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA HNEW HOPE FAMILY KILICHOPO MWASONGA KIGAMBONI JIJINI DAR

Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Ali Changwila akimkabidhi Peter Benard gunia la mchele kwaniaba ya wenzake wakati walipokwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo mafuta ya kupikia na madaftari kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha kuleta yatima cha New Hope Family chenye watoto 36. Kilichopo mwasonga kigamboni jijini kata ya kisarawe 2 ,Temeke jijini Dar es Salaam.Mshauri wa Kituo cha kule watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha New Hope family ...

 

11 years ago

Michuzi

UNHWA YA KOREA KUSINI KUISAIDIA NIMR KATIKA UGUNDUZI WA DAWA KWA KUTUMIA MIMEA

 Na Father Kidevu Blog, Dar es Salaam Taasisi ya taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu Tanzania (NIMR), imesaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea ambapo kampuni hiyo itaisaidia NIMR teknolojia mpya ya kufanya ugunduzi wa dawa za binadamu kwa kutumia mimea.
Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es salaam pembezoni mwa kongamano la 28 la kisayansi la NIMR, ambapo mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo Dk. Mwele Malecela amesema hatua hiyo ni muhimu katika...

 

9 years ago

Michuzi

VWG watoa msaada kwa yatima wa kituo cha chakuwama jijini dar

 KIKUNDI cha wakinamama kijulikanacho kwa jina la Victory Women Group (VWG) chenye makao yake makuu jijini Dar es salaam, mwisho mwa wiki, kilijumuika pamoja na kuwapatia msaada wa mahitaji mbali mbali watoto Yatima wanaolelewa kwenye Kituo cha CHAKUWAMA, kilichopo Sinza Mori jijini Dar es salaam.
VWG iliamua kutembelea kituo hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho yake ya kutimiza mwaka mmoja toka kuanzishwa kwake.
Akizungumza katika hafla fupi iliyofanyika kituoni hapo, Mwenyekiti wa VWG, Bi....

 

9 years ago

Dewji Blog

DoubleTree Hotel watoa msaada kwa kituo cha Watoto Wetu Tanzania

 Meneja Mkuu wa DoubleTree hotel Ndugu Ian Mclachlan akimkabidhi  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Msaada wa Magoro 80 .Akipokea Msaada huo Mkuu wa Wilaya Mh Makonda ameushukuru Uongozi wa Msaada huo.Kutoka Hotel ya Double Tree ya Jijini Dar es salaam.Msaada huo umekabidhiwa na Mkuuwa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda.Kituo Hicho kinacholea Watoto na vijana wa Mitaani na wanaoishi katika Mazingira Magumu kina Jumla ya Watoto Pamoja na Vijana 120 Kilianzishwa Mnamo mwaka 1998...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WAPWANI GENERATION WATOA MSAADA WA VYAKULA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIBAHA


NA VICTOR MASANGU, KIBAHAWatoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu katika kituo cha Sharom kilichopo kata ya Msangani Wilayani Kibaha Mkoani Pwani wamemuomba Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwasaidia kwa hali na mali kuwasaidia kuwatatulia changamoto mbali mbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa mahitaji ya chakulai,nguo, huduma za matibabu pamoja na ujenzi wa jengo la nyumba kwa ajili ya kuweza kuishi.
Baadhi ya watoto hao akiwemo Sara Yendemba Dickson Michael na wakizungumza...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AONANA NA WATAFITI KUTOKA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO UYOLE MBEYA KUJADILI KUINUA KILIMO CHA NGANO MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza na watafiti kutoka taasisi ya Utafiti wa Kilimo Uyole iliyopo Mkoani Mbeya walipomtembelea ofisini kwake leo kutambulisha mpango wa SARD (Strategic Agriculture Reseach Development) unaodhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB (Africa Development Bank). Mpango huo una lengo la kupunguza utegemezi wa chakula nchini kwa kuongeza uzalishaji wa vyakula mbalimbali ikiwemo zao la ngano ambalo ni sehemu ya mradi huo Mkoani Rukwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani