TCAA WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA HNEW HOPE FAMILY KILICHOPO MWASONGA KIGAMBONI JIJINI DAR
Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Ali Changwila akimkabidhi Peter Benard gunia la mchele kwaniaba ya wenzake wakati walipokwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo mafuta ya kupikia na madaftari kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha kuleta yatima cha New Hope Family chenye watoto 36. Kilichopo mwasonga kigamboni jijini kata ya kisarawe 2 ,Temeke jijini Dar es Salaam.
Mshauri wa Kituo cha kule watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha New Hope family ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog29 Dec
TCAA watoa msaada kituo cha yatima cha New Hope Family kilichopo Mwasonga Kigamboni jijini Dar
Mshauri wa Kituo cha kule watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha New Hope family Maiko Lugendo, ( kulia) akimuonyesha Afisa habari wa Mamka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Ali Changwila wakati walipokwenda kutoa msaada wa vitumbalimbali vikiwemo vyakula kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya kwenye kituo hicho kilichopo Mwasonga Kata ya Kisarawe 2 Kigamboni jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Hellen Erasto.
Afisa habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ali...
10 years ago
GPLMAMLAKA YA USAFIRI WA ANAGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA
11 years ago
GPLMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLJOKATE ATOA MISAADA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA EXTREME KILICHOPO TANDALE KWA BI MTUMWA, DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziJokate atoa misaada kituo cha kulea Yatima cha Extreme kilichopo Tandale kwa Bi Mtumwa, Dar es salaam
9 years ago
MichuziGEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA KWA KUTOA MSAADA WA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIJIJI CHA FURAHA KILICHOPO MBWENI JIJINI DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wElhaJF9fXJZU3SzPSeOlkXD8UVn5VFOw55PsUy6pSo9j3gdPge4xj99dou-Zkvrh0vKkBsXhIRBQG2P1DQpvMOet14VqReB/MISAADA1.jpg?width=650)
LYALAMO FAMILY WATOA MISAADA KITUO CHA YATIMA GROUP TRUST FUND KILICHOPO CHANIKA, DAR
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TksgcaWB8w8/VlHuMakQpjI/AAAAAAAAvuk/5aZjy8GpptA/s72-c/DSCF8984.jpg)
VWG watoa msaada kwa yatima wa kituo cha chakuwama jijini dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-TksgcaWB8w8/VlHuMakQpjI/AAAAAAAAvuk/5aZjy8GpptA/s640/DSCF8984.jpg)
VWG iliamua kutembelea kituo hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho yake ya kutimiza mwaka mmoja toka kuanzishwa kwake.
Akizungumza katika hafla fupi iliyofanyika kituoni hapo, Mwenyekiti wa VWG, Bi....
10 years ago
MichuziUJAMAA INTELLECTUALS NETWORK WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAUNGA CENTRE JIJINI DAR ES SALAAM
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA