Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKULIMA MAZAO YA VIUNGO WATOA OMBI KWA SERIKALI , SAT WAELEZA WANAVYOSAIDIA KUTAFUTA SOKO LA UHAKIKA


Baadhi ya wakulima wa kilimo hai mkoani Morogoro wakiwa katika moja ya mkutano wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayohusu kilimo hicho ambapo wametumia nafasi hiyo kutoa ombi kwa Serikali kuanzisha bodi ambayo itahusika kusimamia mazao ya kilimo hai yakiwemo mazao ya viungo ambayo yamekuwa yakilimwa na baadhi ya wakulima ambao wako chini ya mradi wa unaosimamiwa na Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT).
Mkurugenzi Mtendaji wa SAT Janeth Maro akifafanua jambo kwa waandishi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wakulima bado wanateseka kutafuta soko

Moja ya jambo ninaloliona mara kwa mara ninapokuwa safarini ni wakulima wakiwa barabarani wakibembeleza wapita njia, hasa wanaoendesha magari kusimama kununua bidhaa zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Kulikoni wakulima wanateseka kutafuta soko?

Moja ya mambo ninayoyaona mara kwa mara ninapokuwa safarini, ni wakulima wakiwa barabarani wakibembeleza wapita njia, hasa wanaoendesha magari, kusimama kununua bidhaa zao.

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali imetumia zaidi ya Shilingi Bilioni 111 kununua mazao kwa wakulima

IMG_5996

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Bw. Charles akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo Pichani) kuhusu mafanikio yaliyopatikana na wakala hao ikiwamo kutumia Zaidi ya Bilioni 111 kununua mazao kwa wakulima katika kipindi cha Mwaka 2013/2014. wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mipango na Uendeshaji wa wakala huo Bi. Anna Mapunda.

IMG_6007

Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano huo...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yahaha kutafuta soko la mahindi nje

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetoa wito kwa wafanyabiashara kuchangamkia masoko ya mazao ya chakula nje ya nchi hasa mahindi kwa kuwa yapo mengi nchini.

 

5 years ago

Michuzi

KITUO CHA UTAFITI WA KILIMO-SAT WATOA MBINU YA KUKABILIANA NA VIWAVIJESHI KWA KUTUMIA MIMEA

Mwandishi Mussa Juma akiwa ameshika jani na kunusa harufu yake, Jani hilo nalo hutumika kuua wadudu wanaoharibu mimea ya mazao shambani

Meneja wa Kituo cha Utafiti wa kilimo ambacho kinamilikiwa na Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) Frank Marwa akielezea hatua nne za ukuaji wa viwavijeshi ambaye ni moja ya wadudu waharibifu wa mazao shambani.
Frank Marwa ambaye ni Meneja wa Kituo cha utafiti wa kilimo akiwa ameshika jani la mpapai ambalo nalo hutumika kuua wadudu wa haribifu wa...

 

11 years ago

Michuzi

TUNASHINDWA KUSAFIRISHA MAZAO YETU KWA SABABU MIUNDOMBINU SI YA UHAKIKA-MKAZI WA MAGUBIKE.

Gari likiwa limebeba matenga ya nyanya kutoka shambani,katika kijiji cha Magubike,Iringa Vijijini mapema leo,tayari kwa kusafirishwa kupelekwa mikoa mbalimbali kwa ajili ya kuuzwa,Mmoja wa wakulima wa zao hilo la Nyanya aliyejitambulisha kwa jina moja la Ezekiel alieleza kuwa wakulima wengi wa zao hilo kwa sasa wako kwenye mavuno,akaongeza kuwa changamoto kubwa walionayo ni suala la barabara kwa ajili ya kusafirisha mazao yao,si ya za uhakika sana kutokana na jinsi zilivyo,"hapa mvua...

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA UTT WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA WAKULIMA JUU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI MKOANI LINDI

Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga akitoa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuhusu, mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.   Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, wakimsikiliza Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga wakati akitoa mafunzo kwa watumishi hao juu ya mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.  Mkurugenzi wa Masoko na Uhusino...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI HAITOPANGA BEI ZA MAZAO YA WAKULIMA-MHE MGUMBA

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) akisisitiza jambo leo tarehe 30 Aprili 2020 wakati akizungumza na viongozi wa TADCOs Co ltd kuhusu hatua iliyofikiwa ya uagizaji wa mbolea katika ukumbi wa KILIMO IV Jijini Dodoma.
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma


Serikali imesisitiza kuwa haitopanga wala kuingilia bei za mazao ya wakulima nchini badala yake wakulima watajipangia bei na kuuza wenyewe ilihali serikali ikisalia kama msimamizi.


Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb)...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kutafuta soko la Utalii nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kutafuta soko la utalii kutoka nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati ili kuongeza idadi ya watalii nchini na kukuza pato la Taifa kupitia sekta hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani