TUNASHINDWA KUSAFIRISHA MAZAO YETU KWA SABABU MIUNDOMBINU SI YA UHAKIKA-MKAZI WA MAGUBIKE.
![](http://1.bp.blogspot.com/-A3u4I_CPq-E/UxXfMTx_0-I/AAAAAAAFRDY/FFlfUpoe7iw/s72-c/IMG_6337.jpg)
Gari likiwa limebeba matenga ya nyanya kutoka shambani,katika kijiji cha Magubike,Iringa Vijijini mapema leo,tayari kwa kusafirishwa kupelekwa mikoa mbalimbali kwa ajili ya kuuzwa,Mmoja wa wakulima wa zao hilo la Nyanya aliyejitambulisha kwa jina moja la Ezekiel alieleza kuwa wakulima wengi wa zao hilo kwa sasa wako kwenye mavuno,akaongeza kuwa changamoto kubwa walionayo ni suala la barabara kwa ajili ya kusafirisha mazao yao,si ya za uhakika sana kutokana na jinsi zilivyo,"hapa mvua...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5FmTVwt37AI/XvX2fDMVBAI/AAAAAAALvko/btmRVnzIerYSUZyWdeh95oeqhBYmp0XMQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-26%2Bat%2B2.17.25%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
MKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...
5 years ago
MichuziWAKULIMA MAZAO YA VIUNGO WATOA OMBI KWA SERIKALI , SAT WAELEZA WANAVYOSAIDIA KUTAFUTA SOKO LA UHAKIKA
Baadhi ya wakulima wa kilimo hai mkoani Morogoro wakiwa katika moja ya mkutano wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayohusu kilimo hicho ambapo wametumia nafasi hiyo kutoa ombi kwa Serikali kuanzisha bodi ambayo itahusika kusimamia mazao ya kilimo hai yakiwemo mazao ya viungo ambayo yamekuwa yakilimwa na baadhi ya wakulima ambao wako chini ya mradi wa unaosimamiwa na Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT).
Mkurugenzi Mtendaji wa SAT Janeth Maro akifafanua jambo kwa waandishi wa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7dUCeFO2kvw/VkDgbeQbXtI/AAAAAAADBHY/5l7goD9Ycdo/s72-c/12219593_1646329432298044_5666436897318437469_n.jpg)
MERU LOGISTICS KAMPUNI YA UHAKIKA YA KUSAFIRISHA MIZIGO KUTOKA UK KUJA TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-7dUCeFO2kvw/VkDgbeQbXtI/AAAAAAADBHY/5l7goD9Ycdo/s640/12219593_1646329432298044_5666436897318437469_n.jpg)
Karibu Meru Logistics kwa huduma nzuri, safi, zenye uhakika na haraka kutuma mizigo kutoka UK kwenda Tanzania.Wasiliana nasi pia kama unahitaji chochote kutoka UK kama vile magari, matractor, fridge, TV, Vyombo nk. tuta kusaidia kununua na kukutumia mpaka Tanzania bila tatizo lolote na vitafika salama kabisa. Bei za kutuma mizigo ni kama ifuatavyo:20' CONTAINER TO DAR /MOMBASA FROM £1,300 40' CONTAINER TO DAR /MOMBASA FROM £1,8004X4 TO DAR/MOMBASA FROM £850SALOON CARS TO DAR/ MOMBASA FROM...
9 years ago
MichuziSERIKALI YATOA UFAFANUZI JUU YA UPATIKANAJI WA VIBALI VYA KUSAFIRISHA MAZAO NJE YA NCHI
Akitoa ufafanuzi huo, Mwanasheria wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bwana George Mandepo (Pichani) alisema kuwa vibali vya kusafirisha mazao ya kilimo nje ya nchi, hutolewa bila gharama na kuongeza kuwa biashara hiyo inaweza kufanywa na mtu yeyote, kinachotakiwa ni mhusika kuzingatia sheria na...
10 years ago
Michuzi22 Mar
Tanzania Ijayo, Ufugaji Wa Kisasa Na Biashara Kubwa Ya Mazao Ya Mifugo Yetu - Profesa Muhongo
Wasifu Kwa Kifupi, Prof Sospeter Muhongo) 20 Machi 2015
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Ukosefu wa huduma za afya za kisasa na uhakika zadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania kufuata huduma hiyo nje ya nchi
. Ukosefu wa huduma za afya za uhakika na za kisasa zinadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania wengi kufuata huduma hizo nchi za nje.
Hospitali ya Apollo ilikuwa moja ya hospitali za mwanzo kabisa katika bara la Asia, na duniani kwa ujumla kuleta huduma zote za kiafya chini ya paa moja. Na kwa wakati huu, mpango huo kabambe umeifanya hospitali hiyo kufanikiwa katika Nyanja zote za matibabu.
Dr. Prathap C Reddy, muasisi wa huduma za kiafya za kisasa nchini india, alianzisha hospitali ya...
10 years ago
MichuziWAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO
Vilevile Dr. Nchimbi ameelekeza ukarabati wa Maghala ya hifadhi ya “National Milling” yaliyopo eneo la Makole ambayo uwezo wake ni kuhifadhi takribani tani elfu 10 kwa ghala uwekewe mkakati ili kusaidia kuleta suluhisho la...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Kortini kwa kusafirisha mirungi
5 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YA YAAGIZA ULINZI WA MIUNDOMBINU
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuhakikisha inaweka ulinzi madhubuti katika miundombinu ya mradi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam ili idumu kwa kipindi kirefu.
Mradi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika njia za barabara za Morogoro, Mandela na Sam Nujoma unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 229 na huku Serikali ikichangia fedha za fidia kwa wananchi...