Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania Ijayo, Ufugaji Wa Kisasa Na Biashara Kubwa Ya Mazao Ya Mifugo Yetu - Profesa Muhongo



Wasifu Kwa Kifupi, Prof Sospeter Muhongo) 20 Machi 2015

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SOKO KUBWA LA MAZAO NA MNADA WA MIFUGO KUANZISHWA KYERWA.

Na Abdullatif Yunus wa Michuzi TV.

Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inajipanga kujenga Soko la Mazao na  Mnada wa Mifugo katika Kata ya Murongo Wilayani Kyerwa  lenye thamani ya Shilingi 114, 549,996 lengo likiwa ni kudhibiti biashara ya magendo ya usafirishaji na uuzaji wa mazao na mifugo kwa njia zisizokuwa halali.

Mpango huo ni miongoni  mwa vipaumbele ambavyo vimebainishwa katika Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020-2021, uliowasilishwa katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo,...

 

10 years ago

Michuzi

BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KUWANUFAISHA WANANCHI WA LINDI NJIA BORA ZA KISASA ZA UFUGAJI MIFUGO, MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA

Na Lucas Mboje, Lindi
Wananchi mbalimbali wa Mikoa ya Lindi na Mtwara wanaotembelea katika Banda la Jeshi la Magereza Maonesho ya Wakulima Nane Nane Kitaifa wananufaika na elimu inayotolewa bure na Maafisa Mifugo wa Jeshi hilo kuhusiana na njia bora na za Kisasa za Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na nyama.
Akizungumza umuhimu wa elimu hiyo kwa Wananchi, Mkuu wa Banda la Jeshi la Magereza, Mlasani Kimaro amesema lengo kubwa la kutoa elimu hiyo kwa Wananchi ni kusaidia kuboresha vipato vyao...

 

10 years ago

Vijimambo

RIPOTI YA HALI YA BIASHARA YA MAZAO YATOKANAYO NA BIOTEKNOLOJIA YA KISASA YA MWAKA 2014 YAZINDULIWA DAR ES SALAAM LEO

Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kushoto), akionesha Ripoti ya Hali ya Biashara ya Mazao yatokanayo na bioteknolojia ya kisasa ya mwaka 2014 baada ya kuizindua Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa wizara hiyo, Dk.Fidelis Myaka.
Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Raphael Daluti Ripoti ya Hali ya Biashara ya Mazao yatokanayo na bioteknolojia ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Profesa Muhongo: Mwenye uwezo wa kuikwamua Tanzania ni mimi

MUHONGO

* Atangaza nia kwa kutoa takwimu za umasikini na utajiri

*Asema viwanda, gesi, umeme utaipaisha Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Musoma

WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo, ametangaza nia rasmi ya kuwaomba Wana CCM kumteua kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba, huku akisema ni yeye pekee mwenye uwezo wa kuikwamua nchi katika hali mbaya ya umasikini na ukosefu wa wataalamu, hali inayoifanya nchi ishindwe kupiga hatua.

Pamoja na mambo mengine, Muhongo...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA TANZANIA NA KENYA WAKUBALIANA KUKOMESHA BIASHARA HARAMU YA MAZAO YA MISITU

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania,Gladness Mkamba akizungumza mara baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji na washirika wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .Picha picha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania na Kenya watiliana saini makubaliano ya kupiga vita biashara haramu ya mbao na mazao ya misitu

DSCF2342

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania, Bi. Gladness Mkamba akifafanua jambo  baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC....

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani