Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SOKO KUBWA LA MAZAO NA MNADA WA MIFUGO KUANZISHWA KYERWA.

Na Abdullatif Yunus wa Michuzi TV.

Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inajipanga kujenga Soko la Mazao na  Mnada wa Mifugo katika Kata ya Murongo Wilayani Kyerwa  lenye thamani ya Shilingi 114, 549,996 lengo likiwa ni kudhibiti biashara ya magendo ya usafirishaji na uuzaji wa mazao na mifugo kwa njia zisizokuwa halali.

Mpango huo ni miongoni  mwa vipaumbele ambavyo vimebainishwa katika Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020-2021, uliowasilishwa katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC IKUNGI MKOANI SINGIDA AZINDUA MNADA MKUBWA WA MIFUGO NA MAZAO


 Nyama ikichomwa. Sola zikiuzwa.

 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo akihutubia wananchi wakati akizindua Mnada wa Mifugo na Mazao katika Kijiji cha Ighuka  wilayani humo mkoani Singida juzi. Aliyekuwa Mwenyekiti wa  Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ambaye amemalliza muda wake, Ally Mwanga akizungumzia mnada huo na faida zitakazo patikana.  Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akitembelea mabanda.

Mwonekano wa mnada huo. Nyama ya mbuzi ikiuzwa kwenye mnada huo.

Mchoma nyama...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Wataka viwanda vya mazao ya mifugo

Wafugaji katika Kijiji cha Matongo-Nyamongo wilayani hapa wameiomba Serikali kufufua viwanda vya maziwa, ngozi na kuanzisha viwanda vya kusindika nyama ili kumkomboa mfugaji kimaendeleo kwa madai kuwa kukosekana kwa viwanda hivyo kunapelekea mifugo kuuzwa Kenya.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA SOKO LA MAZAO LA MATOMBO MKOANI MOROGOGO

Muonekano wa Soko jipya la Mazao la Matombo lilinozinduliwa hivi karibuni na Mh. Rais Jakata Kikwete.
 Muonekano wa Soko la zamani.
PICHA NA JOHN NDITI.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DK. KAMANI: Ukaguzi wa mazao ya samaki hukuza soko la nje

ILI Tanzania iweze kukubalika katika soko la mazao ya  samaki la ndani na nje ya nchi ni lazima kuwe na ubora wa viwango vinavyohitajika. Viwango vya mazao ya samaki ni...

 

10 years ago

GPL

RUNGWE MAGHARIBI; SOKO LA MAZAO, HUDUMA ZA KIJAMII BADO NI TATIZO

Na Mwandishi Wetu, Mbeya
Rungwe ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Mbeya. Upande wa Kaskazini imepakana na Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mashariki imepakana na Mkoa wa Iringa na Wilaya ya Kyela, Kusini Magharibi kuna Wilaya ya Ileje na Magharibi kuna Wilaya ya Mbeya Vijijini. Profesa David Mwakyusa. Wilaya ya Rungwe, imeganyika katika majimbo mawili ya uchaguzi, Rungwe Magharibi linaloongozwa na Profesa David Mwakyusa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua kubwa zaharibu nyumba, mazao Kagera

Wakati Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ikitoa tahadhari ya uwezekano wa mvua za elninho, wakazi wa Wilaya ya Karagwe wameshuhudia mvua kubwa zilizosababisha zaidi ya nyumba 35 kuezuliwa paa na upepo. Mvua hizo za vuli, zilizoanza kunyesha hivi karibuni zikiambatana na upepo mkali, pia zimesababisha mifugo kuuawa, mazao kuharibika pamoja na shule kubomoka.

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKIANA NA FAO KUDHIBITI MAGONJWA YA MIFUGO KUFIKIA SOKO LA KIMATAIFA.

Na. Edward Kondela Serikali imesema itahakikisha afya ya mifugo nchini inazidi kuimarika kwa Tanzania kudhibiti magonjwa mbalimbali ya mifugo ukiwemo wa miguu na midomo unaoathiri ng’ombe (FMD), ili nchi iweze kuuza nyama na mifugo yake katika masoko mbalimbali ya kimataifa. Akizungumza leo (12.03.2020) ofisini kwake jijini Dodoma, alipokutana na mwakilishi wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Mkoa wa Dodoma Dkt. Moses Ole-Neselle, Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi...

 

11 years ago

Mwananchi

Watakaoacha mifugo barabarani Zanzibar kulimwa faini kubwa

Muswada wa Sheria ya kurekebisha Amri ya Barabara umepiti kwa mbinde baada ya kulazimika kupigwa kura kutokana na Mwakilishi wa Muyuni, Jaku Hashim Ayoub kupinga adhabu ya wafugaji kufungwa miezi mitatu jela au kulipa faini ya Sh1 milioni ikiwa wataachia mifugo yao kuzagaa barabarani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani