RUNGWE MAGHARIBI; SOKO LA MAZAO, HUDUMA ZA KIJAMII BADO NI TATIZO
![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx20-sRfbP1EK0t8gyO*3fLAzWMkDh4OVkW0y4vaqDfUWUqRK6LiuLfoYHkzn6dRHCgjwEBCJ3To6IEyTjBYwoKDc/Lungwe.jpg)
Na Mwandishi Wetu, Mbeya Rungwe ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Mbeya. Upande wa Kaskazini imepakana na Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mashariki imepakana na Mkoa wa Iringa na Wilaya ya Kyela, Kusini Magharibi kuna Wilaya ya Ileje na Magharibi kuna Wilaya ya Mbeya Vijijini. Profesa David Mwakyusa. Wilaya ya Rungwe, imeganyika katika majimbo mawili ya uchaguzi, Rungwe Magharibi linaloongozwa na Profesa David Mwakyusa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-S5YgugT3ybNujrw*5r8WtMSIUEgx2H8ivUp0G4W3cHxcj7ztzVhkzabbeYuWX3JSJJyMcBJbPezDEjxoVajuc0/images.jpg?width=650)
MBOZI MASHARIKI: HUDUMA MBOVU ZA KIJAMII BADO NI TATIZO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6xzDXLZEGusNxE0YGLDxhCrs3O-Li3iLIUq9TyID8tzVa7LHYX4eRGQuXzp4cR6F-U-p6yQRwIIe065yxbXTYWZNpfmn8bED/Masele.gif?width=650)
SHINYANGA MJINI HUDUMA MBOVU ZA KIJAMII BADO NI TATIZO
10 years ago
Michuzi11 Apr
TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.
![](https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif)
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Rungwe yapania kumaliza tatizo la mabara, madawati
NA MWANDISHI WETU, TUKUYU
HALMASHAURI ya Wilaya Rungwe, imetenga sh. milioni 150 kwenye bajeti yake ya mwaka 2014/2015, kununua vifaa vya maabara na kufunga mifumo imara ya gesi, katika shule zake 28 za sekondari zilizoko wilayani humo.
Kiasi hicho cha fedha kitatengwa kupitia ruzuku ya kukuza mtaji katika Serikali za Mitaa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Veronica Kessy, alisema hayo alipokuwa akielezea mkakati wa kujenga na kutumia maabara kwa wanafunzi wa shule za...
10 years ago
MichuziTASWIRA ZA SOKO LA MAZAO LA MATOMBO MKOANI MOROGOGO
![](http://2.bp.blogspot.com/-9og9zBlNR7c/VALwQv9bAZI/AAAAAAAGX1c/coys0H9lz_o/s1600/ENEO%2BLA%2BSOKO%2BLA%2BZAMANI%2BMATOMBO%2C%2BWILAYA%2BYA%2BMOROGORO.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-W5z56E2ui7Y/VALwRrI3OOI/AAAAAAAGX1s/RQNAc1TLDts/s1600/SOKO%2BLA%2BZAMANI%2BMATOMBO%2B%2CWILAYA%2BYA%2BMOROGORO.jpg)
Muonekano wa Soko la zamani.
PICHA NA JOHN NDITI.
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
DK. KAMANI: Ukaguzi wa mazao ya samaki hukuza soko la nje
ILI Tanzania iweze kukubalika katika soko la mazao ya samaki la ndani na nje ya nchi ni lazima kuwe na ubora wa viwango vinavyohitajika. Viwango vya mazao ya samaki ni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--VGSUQCZTuc/XkzxZg8XIsI/AAAAAAALePQ/nypcgu1kJdIuBYeBv_x6e4pgLBOyeOkJACLcBGAsYHQ/s72-c/344.jpg)
SOKO KUBWA LA MAZAO NA MNADA WA MIFUGO KUANZISHWA KYERWA.
Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inajipanga kujenga Soko la Mazao na Mnada wa Mifugo katika Kata ya Murongo Wilayani Kyerwa lenye thamani ya Shilingi 114, 549,996 lengo likiwa ni kudhibiti biashara ya magendo ya usafirishaji na uuzaji wa mazao na mifugo kwa njia zisizokuwa halali.
Mpango huo ni miongoni mwa vipaumbele ambavyo vimebainishwa katika Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020-2021, uliowasilishwa katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFWMtE*GrREoADoByhLynakyEyz7iecoXDsKUMcaHD4qpPp5NRHhr4TjYqkpepy*0nNsh-mfIJue*sSbV0L-K5BV/ebola.jpg?width=650)
EBOLA BADO TISHIO AFRIKA MAGHARIBI
10 years ago
Mwananchi05 Feb
STAKABADHI GHALAINI Ni mfumo mzuri ununuzi mazao ila vyama vya ushirika ni tatizo