Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHINYANGA MJINI HUDUMA MBOVU ZA KIJAMII BADO NI TATIZO

Na Conges Mramba Shinyanga Shinyanga Mjini ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Shinyanga. Shinyanga Mjini imepakana na Mkoa wa Mwanza upande wa Kaskazini, Mashariki kuna Wilaya ya Kishapu na Magharibi kuna Wilaya ya Kahama. Pia ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Stephen Masele kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Stephen Masele. Wiki iliyopita, Uwazi lilifunga safari mpaka kwenye jimbo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBOZI MASHARIKI: HUDUMA MBOVU ZA KIJAMII BADO NI TATIZO

Mheshimiwa Godfrey Weston Zambi. Na Mwandishi Wetu, Mbeya
Mbozi ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Mbeya. Upande wa kaskazini, imepakana na Wilaya ya Chunya, mashariki kuna Wilaya ya Mbeya Mjini na Ileje, kusini kuna Nchi ya Zambia na magharibi kuna Mkoa wa Rukwa. Ndani ya wilaya hiyo, kuna majimbo mawili ya uchaguzi, Mbozi Mashariki na Mbozi Magharibi. Mwishoni mwa wiki iliyopita, Uwazi lilifunga safari hadi kwenye...

 

10 years ago

GPL

RUNGWE MAGHARIBI; SOKO LA MAZAO, HUDUMA ZA KIJAMII BADO NI TATIZO

Na Mwandishi Wetu, Mbeya
Rungwe ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Mbeya. Upande wa Kaskazini imepakana na Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mashariki imepakana na Mkoa wa Iringa na Wilaya ya Kyela, Kusini Magharibi kuna Wilaya ya Ileje na Magharibi kuna Wilaya ya Mbeya Vijijini. Profesa David Mwakyusa. Wilaya ya Rungwe, imeganyika katika majimbo mawili ya uchaguzi, Rungwe Magharibi linaloongozwa na Profesa David Mwakyusa...

 

10 years ago

Michuzi

TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.

Jaji mstaafu wa mahakama ya rufaa nchini tanzania mama EUSEBIA MUNUO  ambaye alikuwa ndiye mkufunzi katika mafunzo hayo yaliyoendeshwa leo jijini Dar es salaam  Rushwa ya ngono pamoja na matumizi mabaya ya madaraka yametajwa kuwa ni moja kati ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuweka mizizi nchini tanzania na kuwaadhiri wasichana wengi huku sheria ikishindwa kuweka wazi adhabu mahususi ili kuwabana wanaohusika katika swala hilo. Hayo yamesemwa leo jijini dare s salaam na Jaji...

 

9 years ago

BBCSwahili

#Shinyanga:Wenyeji waelezea tatizo la maji

Watu wengi #Shinyanga wanasema kuwa kitu cha kwanza wanachokitaka rais ajaye awafanyie ni kuwahakikishia upatikanaji wa maji masafi

 

10 years ago

Mwananchi

Kuchelewa huduma za kijamii kikwazo - Lukuvi

Imeelezwa kuwa ucheleweshwaji wa huduma za kijamii kama maji, umeme na miundombinu mingine kufika katika maeneo kwa wakati ndiyo chanzo cha gharama za kununua nyumba kuwa kubwa.

 

10 years ago

GPL

SAME MASHARIKI: HUDUMA ZA KIJAMII ZINAVYOWATESA WANANCHI

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mbunge wa Same kwa tiketi ya CCM, Mh. Anne Kilango Malecela. Same ni moja kati ya wilaya saba zinazounda Mkoa wa Kilimanjaro, upande wa Kaskazini ikipakana na Wilaya ya Mwanga, Kaskazini Mashariki ikipakana na nchi ya Kenya, Kusini na Kusini Mashariki ikipakana na Tanga na Magharibi ikipakana na Manyara. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mh.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukeketaji bado tatizo

UKEKETAJI ni mila potofu inayodhaniwa kwamba ikifanywa ni heshima pindi mwanamke atakapoolewa. Lakini ukeketaji una madhara kwa wanaofanyiwa, ikiwemo maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kutokana na kuchangia nyenzo za...

 

5 years ago

Michuzi

BIL. 33 KUTUMIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIJAMII NCHINI

Na WAMJW.
Wizara ya Afya, kupitia Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya shilingi bilioni 33.195 ili kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21.

Akiwasilisha Hotuba ya Wizara, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema katika mwaka wa fedha 2020/21 Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia kiasi hicho cha fedha kwa lengo la kuimarisha huduma na mafunzo kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Rushwa bado ni tatizo nchini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema, rushwa ni changamoto ambayo bado inalikabili taifa, hivyo hukwamisha sera ya utawala bora na kuharibu sifa ya nchi katika medani ya kimataifa katika kudhibiti na kupambana na rushwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani