Kuchelewa huduma za kijamii kikwazo - Lukuvi
Imeelezwa kuwa ucheleweshwaji wa huduma za kijamii kama maji, umeme na miundombinu mingine kufika katika maeneo kwa wakati ndiyo chanzo cha gharama za kununua nyumba kuwa kubwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSAME MASHARIKI: HUDUMA ZA KIJAMII ZINAVYOWATESA WANANCHI
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mbunge wa Same kwa tiketi ya CCM, Mh. Anne Kilango Malecela. Same ni moja kati ya wilaya saba zinazounda Mkoa wa Kilimanjaro, upande wa Kaskazini ikipakana na Wilaya ya Mwanga, Kaskazini Mashariki ikipakana na nchi ya Kenya, Kusini na Kusini Mashariki ikipakana na Tanga na Magharibi ikipakana na Manyara. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mh.… ...
5 years ago
MichuziBIL. 33 KUTUMIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIJAMII NCHINI
Na WAMJW.
Wizara ya Afya, kupitia Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya shilingi bilioni 33.195 ili kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21.
Akiwasilisha Hotuba ya Wizara, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema katika mwaka wa fedha 2020/21 Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia kiasi hicho cha fedha kwa lengo la kuimarisha huduma na mafunzo kwenye...
Wizara ya Afya, kupitia Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya shilingi bilioni 33.195 ili kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21.
Akiwasilisha Hotuba ya Wizara, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema katika mwaka wa fedha 2020/21 Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia kiasi hicho cha fedha kwa lengo la kuimarisha huduma na mafunzo kwenye...
10 years ago
GPLMBOZI MASHARIKI: HUDUMA MBOVU ZA KIJAMII BADO NI TATIZO
Mheshimiwa Godfrey Weston Zambi. Na Mwandishi Wetu, Mbeya
Mbozi ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Mbeya. Upande wa kaskazini, imepakana na Wilaya ya Chunya, mashariki kuna Wilaya ya Mbeya Mjini na Ileje, kusini kuna Nchi ya Zambia na magharibi kuna Mkoa wa Rukwa. Ndani ya wilaya hiyo, kuna majimbo mawili ya uchaguzi, Mbozi Mashariki na Mbozi Magharibi. Mwishoni mwa wiki iliyopita, Uwazi lilifunga safari hadi kwenye...
10 years ago
GPLSHINYANGA MJINI HUDUMA MBOVU ZA KIJAMII BADO NI TATIZO
Na Conges Mramba Shinyanga Shinyanga Mjini ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Shinyanga. Shinyanga Mjini imepakana na Mkoa wa Mwanza upande wa Kaskazini, Mashariki kuna Wilaya ya Kishapu na Magharibi kuna Wilaya ya Kahama. Pia ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Stephen Masele kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Stephen Masele. Wiki iliyopita, Uwazi lilifunga safari mpaka kwenye jimbo...
10 years ago
GPLRUNGWE MAGHARIBI; SOKO LA MAZAO, HUDUMA ZA KIJAMII BADO NI TATIZO
Na Mwandishi Wetu, Mbeya
Rungwe ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Mbeya. Upande wa Kaskazini imepakana na Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mashariki imepakana na Mkoa wa Iringa na Wilaya ya Kyela, Kusini Magharibi kuna Wilaya ya Ileje na Magharibi kuna Wilaya ya Mbeya Vijijini. Profesa David Mwakyusa. Wilaya ya Rungwe, imeganyika katika majimbo mawili ya uchaguzi, Rungwe Magharibi linaloongozwa na Profesa David Mwakyusa...
5 years ago
MichuziSERIKALI YA JAPAN YAINGIA MIKATABA MINNE KUUNGA MKONO HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA VIJIJI NCHINI TANZANIA
Serikali ya Japan kupitia balozi wake nchini Tanzania Mh. Goto Shinichi Februari 28,2020 jijini Dar es Salaam imeingia mikataba minne tofauti katika muendelezo wa kuendelea kuunga mkono huduma za kijamii katika vijiji mbalimbali nchini Tanzania.
Serikali hiyo ya Japan ikiwakilishwa na Balozi Goto Shinichi imeingia mkataba wa kusambaza magari ya wagonjwa katika hospitali ya KCMC wenye thamani ya dola za Kimarekani 52,996.
Mkataba mwengine ni pamoja na kusaidia mazingira ya elimu katika wilaya...
9 years ago
Vijimambo01 Sep
TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR.
Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali, mkaazi wa Kisauni. PICHA NA ABDALLA OMAR – MAELEZO ZANZIBAR. Dokta Fadhil Mohd ambae ni D0kta Dhamana Kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waadishi wa habari (hawapo pichani).
Wananchi mbalimbali wakipatiwa huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni Zanzibar.
Mwashungi Tahir Maelezo-Zanzibar
Jumla ya madaktari bingwa tisa kutoka nchini china wakishirikiyana na madaktari wa hapa Zanzibar wameweza kutoa...
Wananchi mbalimbali wakipatiwa huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni Zanzibar.
Mwashungi Tahir Maelezo-Zanzibar
Jumla ya madaktari bingwa tisa kutoka nchini china wakishirikiyana na madaktari wa hapa Zanzibar wameweza kutoa...
9 years ago
MichuziTIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR
Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji cha kisauni Zanzibar. Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania