Mvua kubwa zaharibu nyumba, mazao Kagera
Wakati Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ikitoa tahadhari ya uwezekano wa mvua za elninho, wakazi wa Wilaya ya Karagwe wameshuhudia mvua kubwa zilizosababisha zaidi ya nyumba 35 kuezuliwa paa na upepo. Mvua hizo za vuli, zilizoanza kunyesha hivi karibuni zikiambatana na upepo mkali, pia zimesababisha mifugo kuuawa, mazao kuharibika pamoja na shule kubomoka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-IPVyEi3oKJo/XnDCigd1nBI/AAAAAAALkH0/rcO_JZxTbx4jyFV3OMn9fmWOCm5Dtt4yQCLcBGAsYHQ/s72-c/537202e3-6748-48c4-8ba2-840b45fd7e30.jpg)
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAHARIBU MAZAO WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE
![](https://1.bp.blogspot.com/-IPVyEi3oKJo/XnDCigd1nBI/AAAAAAALkH0/rcO_JZxTbx4jyFV3OMn9fmWOCm5Dtt4yQCLcBGAsYHQ/s640/537202e3-6748-48c4-8ba2-840b45fd7e30.jpg)
Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Ludewa Adrea Tsere amesema wilaya yake inaongoza kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mahindi katika mkoa wa Njombe ambapo...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-PNWcoBqz_s8/VVuW4o5JHnI/AAAAAAABvVo/Uw5OKHGbBLI/s72-c/000.jpg)
BALOZI SEIF AKAGUA NYUMBA ZILIZOATHIRIWA NA MVUA KUBWA ZILIZONYESHA HIVI KARIBUNI ZANZIBAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-PNWcoBqz_s8/VVuW4o5JHnI/AAAAAAABvVo/Uw5OKHGbBLI/s640/000.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-JTmJKon44Bs/VVuW6z3jxiI/AAAAAAABvVw/EPIeLNwTgio/s640/960.jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Makamu wa Rais Dkt. Bilal awajulia hali wananchi walioangukiwa na nyumba zao kwa upepo na mvua kubwa Msoga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia), Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya Viongozi, wakati alipowasili Kitongoji cha Mnazi Mmoja, Msoga jana kwa ajili ya kuwafariji wananchi waliokubwa na maafa kwa kuangukiwa na nyumba zao kutokana na Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha juzi. Katika tukio hilo jumla ya watu 12 walijeruhiwa na jumla ya nyumba 128...
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Mvua yaharibu mazao ya Sh5 mil
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--VGSUQCZTuc/XkzxZg8XIsI/AAAAAAALePQ/nypcgu1kJdIuBYeBv_x6e4pgLBOyeOkJACLcBGAsYHQ/s72-c/344.jpg)
SOKO KUBWA LA MAZAO NA MNADA WA MIFUGO KUANZISHWA KYERWA.
Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inajipanga kujenga Soko la Mazao na Mnada wa Mifugo katika Kata ya Murongo Wilayani Kyerwa lenye thamani ya Shilingi 114, 549,996 lengo likiwa ni kudhibiti biashara ya magendo ya usafirishaji na uuzaji wa mazao na mifugo kwa njia zisizokuwa halali.
Mpango huo ni miongoni mwa vipaumbele ambavyo vimebainishwa katika Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020-2021, uliowasilishwa katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo,...
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kagera watahadharishwa mvua za el nino
WANANCHI wanaoishi maeneo ya mabondeni mkoani Kagera wametahadharishwa juu ya mvua kubwa (el nino) inayotabiriwa kunyesha mwishoni mwa mwezi huu.
Kutokana na hali hiyo, wamehimizwa kusafisha kingo za mifereji ya maji kupunguza mrundikano wa maji.
Meneja wa utabiri wa hali ya hewa mkoani hapa, Seda Simon, alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na gazeti hili akisisitiza kuwa TMA imethibitisha kuwepo kwa mvua za el nino katika kipindi hicho.
Alisema mvua zinazotarajiwa kunyesha...
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Mvua yaua sita Mwanza, Kagera
![Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakiangalia nyumba iliyoporomokewa na mwamba katika Mtaa wa Nyerere A Sinai-Mabatini jana.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/nyumba-mwanza.jpg)
Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakiangalia nyumba iliyoporomokewa na mwamba katika Mtaa wa Nyerere A Sinai-Mabatini jana.
SITTA TUMMA NA RENATHA KIPAKA
WATU sita wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika matukio mawili tofauti yaliyoambatana na mvua katika mikoa ya Mwanza na Kagera.
Katika tukio la jijini Mwanza, vilio na simanzi jana vilitawala kwa wakazi wa maeneo ya Sinai-Mabatini, baada ya vifo vya watu wanne wa familia mbili tofauti, vilivyotokana na mvua iliyosababisha miamba...
10 years ago
Michuzi22 Mar
Tanzania Ijayo, Ufugaji Wa Kisasa Na Biashara Kubwa Ya Mazao Ya Mifugo Yetu - Profesa Muhongo
Wasifu Kwa Kifupi, Prof Sospeter Muhongo) 20 Machi 2015