Mvua yaua sita Mwanza, Kagera
Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakiangalia nyumba iliyoporomokewa na mwamba katika Mtaa wa Nyerere A Sinai-Mabatini jana.
SITTA TUMMA NA RENATHA KIPAKA
WATU sita wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika matukio mawili tofauti yaliyoambatana na mvua katika mikoa ya Mwanza na Kagera.
Katika tukio la jijini Mwanza, vilio na simanzi jana vilitawala kwa wakazi wa maeneo ya Sinai-Mabatini, baada ya vifo vya watu wanne wa familia mbili tofauti, vilivyotokana na mvua iliyosababisha miamba...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Dec
Noah yaua watu sita
WATU sita wamekufa papo hapo na wengine wawili wamejeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya gari iliyotokea juzi usiku katika mji wa Longido mkoani Arusha.
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Ajali ya lori yaua sita
10 years ago
Habarileo05 Mar
Mvua yaua watu 38 Kahama
MAAFA makubwa yameikumba Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya watu 38 kufa papo hapo na wengine 82 kujeruhiwa, kutokana na mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha katika Kijiji cha Mwakata Kata ya Isaka.
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Mvua yaua, yaezua nyumba 62
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kagera watahadharishwa mvua za el nino
WANANCHI wanaoishi maeneo ya mabondeni mkoani Kagera wametahadharishwa juu ya mvua kubwa (el nino) inayotabiriwa kunyesha mwishoni mwa mwezi huu.
Kutokana na hali hiyo, wamehimizwa kusafisha kingo za mifereji ya maji kupunguza mrundikano wa maji.
Meneja wa utabiri wa hali ya hewa mkoani hapa, Seda Simon, alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na gazeti hili akisisitiza kuwa TMA imethibitisha kuwepo kwa mvua za el nino katika kipindi hicho.
Alisema mvua zinazotarajiwa kunyesha...
10 years ago
Habarileo30 Dec
Mvua kubwa yaua Dar
MVUA iliyonyesha jijini Dar es Salaam jana, imeleta balaa baada ya kuua watu wawili, katika maeneo tofauti ya jiji, likiwemo tukio la mtoto wa miaka minane kufa baada ya kuzidiwa na maji yaliyoingia ndani ya nyumba aliyokuwa amelala.
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Mvua yaua watano Singida
MVUA kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia juzi mkoani Singida, imesababisha vifo vya watu watano, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji wakati wakivuka mto Nalala wilayani Iramba. Kamanda wa...
10 years ago
Habarileo24 Feb
Radi yaua mwalimu, wanafunzi sita
WATU saba wakiwamo wanafunzi sita wa darasa la nne katika shule ya msingi Nyakasanda na Mwalimu wa shule hiyo, Anderson Kibada wamekufa baada ya kupigwa na radi huku watu wengine 11 akiwemo Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Laurence Sesegwa (42) wakijeruhiwa.
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Radi yaua sita, yajeruhi wawili
WATU sita wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi katika migahawa miwili inayohudumia wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo na Mifugo (LITA). Tukio tukio hilo lilitokea juzi...