Noah yaua watu sita
WATU sita wamekufa papo hapo na wengine wawili wamejeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya gari iliyotokea juzi usiku katika mji wa Longido mkoani Arusha.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 Jun
Noah yaua watu 3 Singida
WATU watatu wamekufa papo hapo na wengine kumi kujeruhiwa baada ya gari ndogo ya abiria aina ya Toyota Noah walimokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka eneo la Januka kwenye barabara Kuu ya Singida – Arusha.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-fac5wk09ebw/VJBkW05ZC5I/AAAAAAACUa8/qYRjxsZqpSk/s72-c/IMG-20141216-WA0046.jpg)
AJALI YA BASI LA MOHAMED TRANS YAUA WATU SITA NA KUJERUHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-fac5wk09ebw/VJBkW05ZC5I/AAAAAAACUa8/qYRjxsZqpSk/s640/IMG-20141216-WA0046.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuVB5N5PJCucd0cfnh7D7S9MgVcFTQNDKdxJDFueZd5EQPAiIUsIb56f92sZmm3XzRjZoo9jqQhAuNeL1S4qKEE1/IMG20140924WA0015.jpg)
AJALI YA NOAH YAUA WAWILI MBEYA
9 years ago
Dewji Blog26 Sep
Ajali ya basi la City Boys yaua 3, Singida, mwingine agongwa na Noah
Kamanda wa polisI Mkoani Singida (ACP) Thobias Sedoyeka (pichani)akizungumza na waandishi wa habari juu ya kutokea kwa ajali ya basi la City Boys na kusababisha vifo vya watu watatu Wilayani Iramba na mwingine kugongwa na Noah Singida vijijini. (PICHA NA HILLARY SHOO).
Na Hillary Shoo, IRAMBA
WATU wanne wamefariki dunia Mkoani Singida baada ya kupata ajali ya kugongwa na basi la City Boys na mwingine Noah wakati wakivuka barabara eneo la Ulemo barabara kuu ya Singida- Nzega.
Kamanda wa...
10 years ago
Habarileo19 Oct
Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita
MWANAFUNZI wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.
9 years ago
VijimamboNOAH YAACHA NJIA NA KUUWA WATU 9 WILAYANI MISUNGWI
Watu tisa waliokuwa wakisafiri na gari dogo aina ya noah namba T812 BJU, wamefariki dunia papo hapo baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka jana jioni.
Ajali hiyo imetokea saa 11 jioni katika kijiji cha Mwamanga wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza kwenye barabara kuu ya kutoka Shinyanga kuelekea Mwanza, wakati gari hilo kumshinda dereva wake ambaye ni koplo mstaafu wa jeshi, Moris Lukenza, mkazi wa Geita.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Charles Mkumbo,...
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Ajali ya lori yaua sita
10 years ago
Habarileo24 Feb
Radi yaua mwalimu, wanafunzi sita
WATU saba wakiwamo wanafunzi sita wa darasa la nne katika shule ya msingi Nyakasanda na Mwalimu wa shule hiyo, Anderson Kibada wamekufa baada ya kupigwa na radi huku watu wengine 11 akiwemo Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Laurence Sesegwa (42) wakijeruhiwa.
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Mvua yaua sita Mwanza, Kagera
![Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakiangalia nyumba iliyoporomokewa na mwamba katika Mtaa wa Nyerere A Sinai-Mabatini jana.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/nyumba-mwanza.jpg)
Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakiangalia nyumba iliyoporomokewa na mwamba katika Mtaa wa Nyerere A Sinai-Mabatini jana.
SITTA TUMMA NA RENATHA KIPAKA
WATU sita wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika matukio mawili tofauti yaliyoambatana na mvua katika mikoa ya Mwanza na Kagera.
Katika tukio la jijini Mwanza, vilio na simanzi jana vilitawala kwa wakazi wa maeneo ya Sinai-Mabatini, baada ya vifo vya watu wanne wa familia mbili tofauti, vilivyotokana na mvua iliyosababisha miamba...