AJALI YA BASI LA MOHAMED TRANS YAUA WATU SITA NA KUJERUHI
Imeripotiwa kuwa ajali ya Basi la Mohamed Trans iliyotokea leo asubuhi huko maeneo ya IGUNGA mkoani TABORA.Aidha mashuhuda wa ajali hiyo mbaya wamesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni baada ya dereva wa basi hilo alipokuwa akijaribu kulipita roli lililokuwa mbele yake hali iliyo pelekea gari kukosa muelekeo na kumshinda dereva na kisha kuanguka."Basi hilo baada ya kukosa mwelekeo liliiingia kwenye shimo lililokua kando ya barabara hiyo na kupinduka ambapo jumla ya Watu sita wamethibitika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo16 Sep
Ajali basi la Metro yaua 5, kujeruhi 39
WATU watano wamekufa papo hapo na wengine 39 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Metro, kuacha njia, kutumbukia bondeni na kupinduka.
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Ajali ya basi yaua 12 na kujeruhi 22 Iringa
Taswira kutoka eneo la ajali.
Takribani watu 12 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine 22 wakijeruhiwa baada ya basi la New Force kupata ajali leo eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.
Basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es Salaam na limepata ajali mchana huu.
Jitihada za kuondoa miili na kusafirisha majeruhi kuwapeleka hospitali zinaendelea.
10 years ago
GPLAJALI YA BASI YAUA SABA, NA KUJERUHI TABORA
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
Ajali yaua sita na kujeruhi wengine 40 Singida
Basi la kampuni ya Nice Line Coach T.174 CAV mali ya Enock Mwita wa jijini Mwanza, limegonga lori kubwa RAC 317 N kwa nyuma na kukwanguliwa kushoto kuanzia mlangoni na kusababisha vifo vya abiria watano na kujeruhi wengine 39 waliolazwa katika hospitali ya mkoa mjini Singida.
Dereva wa lori kubwa RAC 317 N raia wa Uganda,Waguuma Mohammed, akizungumzia ajali ya lori lake kugongwa kwa nyuma na basi T.174 CAV mali ya Enock Mwita wa jijini Mwanza. Mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa...
10 years ago
GPLAJALI YA BASI NA TRENI YAUA 5 NA KUJERUHI 24 WILAYANI KILOSA
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
News Alert: Ajali mbaya ya basi, yaua abiria 12 na kujeruhi vibaya 18 Singida
Pichani ni muonekana upande wa dereva wa basi la Taqbiir lenye namba za usajili T230-BRJ.
Basi la Kampuni ya Taqbiir lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Katoro-Geita, lilipofika kijiji cha Kisonzo, tarafa ya Shelui wilaya ya Iramba mkoa wa Singida Desemba mosi mwaka huu, majira ya saa moja na nusu liligonga Tenka la Mafuta upande wa kulia wa dereva na kung’oa bati lote na kuua baadhi ya watu papo hapo na wengine walifia njiani wakipelekwa hospitali ya wilaya ya Iramba. (Picha zote na...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Ajali ya malori yaua watu wawili, kujeruhi wengine watatu Bagamoyo
10 years ago
Michuziajali yaua watu wawili na kujeruhi wawili mkoani lindi
Kamanda Mzinga aliwataja waliokufa...
11 years ago
CloudsFM09 Jun
WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA BASI NANYALA MBEYA
Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni Ndejela Express lenye namba za usajili T 257 CMP aina ya TATA likiendeshwa na Dereva wa kike Vailet Mbinda(31) mkazi wa Sokomatola kugongwa kwa nyuma na roli la mizigo kisha kupinduka Kijiji cha Nanyala Kata ya Nanyala wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa tisa alasiri barabara ya Tunduma/Mbeya ambapo roli lenye namba T 369 AWM aina ya SCANIA likendeshwa na Dereva asiyefahamika likiwa katika...