Ajali yaua sita na kujeruhi wengine 40 Singida
Basi la kampuni ya Nice Line Coach T.174 CAV mali ya Enock Mwita wa jijini Mwanza, limegonga lori kubwa RAC 317 N kwa nyuma na kukwanguliwa kushoto kuanzia mlangoni na kusababisha vifo vya abiria watano na kujeruhi wengine 39 waliolazwa katika hospitali ya mkoa mjini Singida.
Dereva wa lori kubwa RAC 317 N raia wa Uganda,Waguuma Mohammed, akizungumzia ajali ya lori lake kugongwa kwa nyuma na basi T.174 CAV mali ya Enock Mwita wa jijini Mwanza. Mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Ajali yaua askari wa JWTZ, kujeruhi wengine 33
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Ajali ya malori yaua watu wawili, kujeruhi wengine watatu Bagamoyo
10 years ago
VijimamboAJALI YA BASI LA MOHAMED TRANS YAUA WATU SITA NA KUJERUHI
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
News Alert: Ajali mbaya ya basi, yaua abiria 12 na kujeruhi vibaya 18 Singida
Pichani ni muonekana upande wa dereva wa basi la Taqbiir lenye namba za usajili T230-BRJ.
Basi la Kampuni ya Taqbiir lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Katoro-Geita, lilipofika kijiji cha Kisonzo, tarafa ya Shelui wilaya ya Iramba mkoa wa Singida Desemba mosi mwaka huu, majira ya saa moja na nusu liligonga Tenka la Mafuta upande wa kulia wa dereva na kung’oa bati lote na kuua baadhi ya watu papo hapo na wengine walifia njiani wakipelekwa hospitali ya wilaya ya Iramba. (Picha zote na...
10 years ago
Dewji Blog11 Sep
Ajali yaua askari Magereza mkoa wa Singida, wengine watatu wafa kwenye matukio tofauti
Askari Magereza Ramadhan Mussa (54) enzi za uhai wake.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
WATU wanne wamefariki dunia Mkoani Singida katika matukio tofauti likiwemo la askari magereza mmoja wa Mkoa wa Singida kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari lake dogo kugongana uso kwa uso na lori usiku.
Kamanda wa polisi Mkoani hapa Geofrey Kamwela alisema askari magereza wa huyo ametambuliwa kuwa ni Staff Sagenti Ramadhan Mussa (54) alikufa papo hapo baada ya gari lake alilokuwa akiendesha kuacha njia na...
11 years ago
Habarileo26 Jul
Ajali yaua 3, kujeruhi 46
WATU watatu wamekufa na wengine 46 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Uchunga wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
10 years ago
GPLAJALI YAUA 16 NA KUJERUHI 75 TABORA
9 years ago
Habarileo16 Sep
Ajali basi la Metro yaua 5, kujeruhi 39
WATU watano wamekufa papo hapo na wengine 39 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Metro, kuacha njia, kutumbukia bondeni na kupinduka.
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Ajali yaua wawili, kujeruhi 15 Lushoto