Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NOAH YAACHA NJIA NA KUUWA WATU 9 WILAYANI MISUNGWI



Watu tisa waliokuwa wakisafiri na gari dogo aina ya noah namba T812 BJU, wamefariki dunia papo hapo baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka jana jioni.


Ajali hiyo imetokea saa 11 jioni katika kijiji cha Mwamanga wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza kwenye barabara kuu ya kutoka Shinyanga kuelekea Mwanza, wakati gari hilo kumshinda dereva wake ambaye ni koplo mstaafu wa jeshi, Moris Lukenza, mkazi wa Geita.


Akizungumza na waandishi wa habari leo, kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Charles Mkumbo,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

IS yadaiwa kuuwa watu 20 Palmyra

Wanaharakati nchini Syria, wanasema kuwa wanamgambo wa Islamic State, wametumia ukumbi wa zamani Palmyra, kutekeleza mauwaji ya wafungwa 20.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dereva ahemkwa Austria na kuuwa watu

Dereva mmoja wa Austria alenga wapita njia kusudi; auwa na kujeruhi kadha

 

11 years ago

Bongo5

Ndege nyingine yaanguka na kuuwa watu 40 Iran

Ndege inayomilikiwa na kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makaazi ya watu Jumapili (Agosti 10) baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Maghribi mwa mji wa Tehran. TV ya taifa ya Iran imesema watu wote 40 wamepoteza maisha katika ajali hiyo na uchunguzi umeanza kufanywa ili kubaini chanzo. Ndege hiyo iliyojulikana kwa […]

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yaacha watu 400 bila makazi

MVUA kubwa iliyoambatana na mawe na upepo mkali, imewaacha zaidi ya watu 400 katika kijiji cha Mwandoya wilayani Meatu mkoani Simiyu bila kuwa na mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa.

 

10 years ago

Vijimambo

MABASI YAPATA AJALI TANGA NA MOROGORO NA KUUWA WATU KADHAA

Basi la Ngorika lenye namba za Usajili T770 BKW lililokuwa kitoka jijini Dar es Salaam kwenda Arusha na lile la Kampuni ya RATCO T 274 DCP Tanga kwenda Dar es Salaam yamegongana uso kwa huso na kulihusisha gari lingine dogo aina ya Toyota Pass T 628 CXE na kusababisha vifo vya abiria 10 na majeruhi. Ajali hiyo ilitokea eneo la Mbweni Mkata, wilayani Handeni mkoni Tanga. 
Inaelezwa kuwa basi la Ratco lilgongana kwanza na gari dogo na kisha kwenda kugongana uso kwa uso na basi la Ngorika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bomoabomoa Arusha yaacha watu 216 bila makazi

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, imebomoa nyumba zake kwenye maeneo ya Kilombero, Themi na Kaloleni ambazo zilikuwa zinakaliwa na wapangaji 216. Hatua hiyo imepokewa kwa hisia tofauti miongoni mwa madiwani...

 

11 years ago

Habarileo

Noah yaua watu 3 Singida

WATU watatu wamekufa papo hapo na wengine kumi kujeruhiwa baada ya gari ndogo ya abiria aina ya Toyota Noah walimokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka eneo la Januka kwenye barabara Kuu ya Singida – Arusha.

 

11 years ago

Habarileo

Noah yaua watu sita

WATU sita wamekufa papo hapo na wengine wawili wamejeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya gari iliyotokea juzi usiku katika mji wa Longido mkoani Arusha.

 

5 years ago

Michuzi

DKT KALEMANI AFANYA ZIARA YA NYUMBA KWA NYUMBA KUKAGUA KAZI YA USAMBAZAJI UMEME VIJIJINI WILAYANI MISUNGWI Inbox x


Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani(wa kwanza) akizungumza na Bi Restuta Willbad wakati alipokwenda kukagua nyumba ya mwanakijiji huyo wa kijiji cha Isamilo, Wilaya ya Misungwi,Mkoani Mwanza,Moja ya Nyumba ambayo Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani ameikagua ambayo ipo katika kijiji cha Usagara Wilaya ya Misungwi,Mkoani MwanzaWaziri wa Nishati,Dkt Medard...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani