Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dereva ahemkwa Austria na kuuwa watu

Dereva mmoja wa Austria alenga wapita njia kusudi; auwa na kujeruhi kadha

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

IS yadaiwa kuuwa watu 20 Palmyra

Wanaharakati nchini Syria, wanasema kuwa wanamgambo wa Islamic State, wametumia ukumbi wa zamani Palmyra, kutekeleza mauwaji ya wafungwa 20.

 

11 years ago

Bongo5

Ndege nyingine yaanguka na kuuwa watu 40 Iran

Ndege inayomilikiwa na kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makaazi ya watu Jumapili (Agosti 10) baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Maghribi mwa mji wa Tehran. TV ya taifa ya Iran imesema watu wote 40 wamepoteza maisha katika ajali hiyo na uchunguzi umeanza kufanywa ili kubaini chanzo. Ndege hiyo iliyojulikana kwa […]

 

9 years ago

Vijimambo

NOAH YAACHA NJIA NA KUUWA WATU 9 WILAYANI MISUNGWI



Watu tisa waliokuwa wakisafiri na gari dogo aina ya noah namba T812 BJU, wamefariki dunia papo hapo baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka jana jioni.


Ajali hiyo imetokea saa 11 jioni katika kijiji cha Mwamanga wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza kwenye barabara kuu ya kutoka Shinyanga kuelekea Mwanza, wakati gari hilo kumshinda dereva wake ambaye ni koplo mstaafu wa jeshi, Moris Lukenza, mkazi wa Geita.


Akizungumza na waandishi wa habari leo, kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Charles Mkumbo,...

 

10 years ago

Vijimambo

MABASI YAPATA AJALI TANGA NA MOROGORO NA KUUWA WATU KADHAA

Basi la Ngorika lenye namba za Usajili T770 BKW lililokuwa kitoka jijini Dar es Salaam kwenda Arusha na lile la Kampuni ya RATCO T 274 DCP Tanga kwenda Dar es Salaam yamegongana uso kwa huso na kulihusisha gari lingine dogo aina ya Toyota Pass T 628 CXE na kusababisha vifo vya abiria 10 na majeruhi. Ajali hiyo ilitokea eneo la Mbweni Mkata, wilayani Handeni mkoni Tanga. 
Inaelezwa kuwa basi la Ratco lilgongana kwanza na gari dogo na kisha kwenda kugongana uso kwa uso na basi la Ngorika...

 

10 years ago

Michuzi

MZIMU WA NGOMA AFRICA BAND KUIBUKIA MAMLING FESTIVAL, AUSTRIA, Jumapili 5 Julai 2015-Austria

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni,yenye makao nchini Ujerumani,inatarijiwa kutumbuiza katika maonyesho makubwa ya muziki na utamaduni Mamling Festival siku ya jumapili 5 Julai 2015 alhasiri katika viwanja vya Schlosspark,Mamling 3, Mining nchini Austria. Watayarishaji wa onyesho hilo wameitaja bendi hiyo ya Ngoma Africa band kuwa muziki wake ni sawa na mzimu unawapeleka puta washabiki katika maonyesho ya kimataifa na washabiki nchini Austria...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: CHOPA YAPIGA MWELEKA LEO NA KUUWA WATU WANNE JIJINI DAR LEO

Sehemu ya mabaki ya Helkopta aina ya Chopa iliyopiga mweleka mapema leo asubuhi maeneo ya Kipunguni B Ukonga jijini Dar es Salaam na kuua watu wanne waliokuwemo ndani ya Chopa hiyo hiyo wakiwa ni rubani pamoja na askari watatu.Chanzo cha Chopa hiyo kupiga mweleka bado hakijafahamika mpaka sasa.Sehemu ya Mashuhuda wakiangalia mabaki ya Chopa hiyo.Sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia ajali hiyo iliyotokea mapema leo eneo la Kipunguni B,jijini Dar es Salaam.Watu wanne wamepoteza maisha...

 

9 years ago

StarTV

 Watu 22 wajeruhiwa Songea dereva atoroka  

 

 

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela amewataka wamiliki wa vyombo vya usafiri kuwa na kawaida ya kukagua Magari yao mara kwa mara ili kuweza kuepuka Ajali ambazo zinaweza kuepukika.

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela ameyasema hayo baada ya Gari lenye Namba za Usajili T958 CUV Toyota Rosa kupata ajali eneo la Kigonsera na kusababisha watu 22 kujeruhiwa na wawili kuvunjika mikono

Amesema Jiografia ya Mkoa wa Ruvuma ina kona nyingi na milima hivyo Dereva anatakiwa...

 

5 years ago

Michuzi

MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI

AJALI YA GARI KUGONGA BAJAJI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LAMSHIKILIA DEREVA WA LORI MALI YA TEXAS HARDWARE KWA KUSABABISHA AJALI ILIYOPELEKEA VIFO VYA WATU 8 NA MAJERUHI 5 WILAYA YA MAGU




TAREHE 10.06.2020 MAJIRA YA 19:45HRS KATIKA BARABARA YA MWANZA – MUSOMA, ENEO LA IHAYABUYAGA, KATA YA BUKANDWE, TARAFA YA SANJO, WILAYA YA MAGU – MWANZA, DEREVA AITWAE BONIPHACE CLIPHORD @TUJU MIAKA 37, MJITA, MKAZI WA MWANZA-NERA AKIENDESHA GARI NA T.322 DCB TRAILER T.1351 DCA AINA YA SCANIA LIKITOKEA WILAYA YA BUSEGA KWENDA MWANZA MALI YA KAMPUNI YA TEXAS HARDWARE, ILIGONGA TELA YA TRAKTA KWA NYUMA AMBAYO ILIKUWA HAINA TAA ZA NYUMA YENYE NAMBA ZA USAJILI T.952 DGW, BAADA YA KULIGONGA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani