Watu 22 wajeruhiwa Songea dereva atoroka Â
Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela amewataka wamiliki wa vyombo vya usafiri kuwa na kawaida ya kukagua Magari yao mara kwa mara ili kuweza kuepuka Ajali ambazo zinaweza kuepukika.
Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela ameyasema hayo baada ya Gari lenye Namba za Usajili T958 CUV Toyota Rosa kupata ajali eneo la Kigonsera na kusababisha watu 22 kujeruhiwa na wawili kuvunjika mikono
Amesema Jiografia ya Mkoa wa Ruvuma ina kona nyingi na milima hivyo Dereva anatakiwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Askari watatu wajeruhiwa na mlipuko wa bomu Songea
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio ikiwa ni kuimarisha ulinzi.(Picha Zote na demasho.com)
————-
ASKARI watatu wa jeshi la Polisi wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma (Homso) iliyopo mjini songea Mkoani humo wakiwa wanapatiwa matibabu ya majeraha ambayo waliyapata baada ya kushambuliwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni Bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo limetokea September 16/ 2014 majira ya saa moja na nusu jioni katika kata ya Msufini karibu na daraja la Matarawe, wilayani...
10 years ago
GPLASKARI WATATU WAJERUHIWA KWA MLIPUKO WA BOMU SONGEA
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: ASKARI WA TATU WAJERUHIWA NA MLIPUKO WA BOMU SONGEA
(Picha Zote na demasho.com)-------------
ASKARI watatu wa jeshi la Polisi wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma (Homso) iliyopo mjini songea Mkoani humo wakiwa wanapatiwa matibabu ya majeraha ambayo waliyapata baada ya kushambuliwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni Bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo limetokea September 16, 2014 majira ya saa moja na nusu jioni katika kata ya Msufini karibu na daraja la Matarawe,...
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Watu 20 wafa, 15 wajeruhiwa
WATU 20 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 15 wamejeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeegeshwa pembeni mwa barabara. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Watu 11 wafariki ajali ya basi, 55 wajeruhiwa
9 years ago
StarTV28 Sep
Watu watano wafariki, sita wajeruhiwa Katavi
Watu watano wamefariki na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyokea kijiji cha Matandalani wilaya ya Mlele mkoani Katavi baada ya gari aina ya NOAH lenye namba T 451 DDP ikitokea Mpanda mjini Kuelekea Sitalike kupinduka na kuacha njia.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Dhahiri Kidavashari amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa tano za asubuhi baada ya gari kupasuka tairi na kupinduka ambapo chanzo cha ajali ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-vLCoyq7-Qpo/XvSbcrbtcZI/AAAAAAALvYg/S_WP5175-V46U3DQhgxUKrSkSR5IET9TgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200625-WA0026.jpg)
WATU WATATU WAPOTEZA MAISHA KARATU, 25 WAJERUHIWA
Na.Vero Ignatus
Wito umetolewa kwa medereva kuwa makini na kuchukua tahadhari ya usalama barabarani pindi wanapotumia vyombo vya moto ili kuepusha madhara makubwa ambayo yanaweza kutokea,kwani jeshi la polisi litaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote ambao wataenda kinyume na taratibu za usalama barabarani
Akitoa taarifa ya ajali kwa waandishi wa habari Kaimu kamanda mkoa wa Arusha ACP.Ramadhani Kingai alisema ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 16:30hrs ,huko maeneo ya...
10 years ago
Mwananchi05 Mar
Mvua ya mawe yaua watu 42 Kahama, 91 wajeruhiwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IR6j1-Mhm*XN3OFHTPhZW0SIR2YLjYg8hcJmMxtkIZVdz-WGkrs57sj6DfZT7C7Le2AoY8iIpWOGHMicPPFfNI-NIAimhPwf/uchira.jpg?width=650)
WATU SITA WAJERUHIWA KATIKA AJALI KILIMANJARO