Kagera watahadharishwa mvua za el nino
WANANCHI wanaoishi maeneo ya mabondeni mkoani Kagera wametahadharishwa juu ya mvua kubwa (el nino) inayotabiriwa kunyesha mwishoni mwa mwezi huu.
Kutokana na hali hiyo, wamehimizwa kusafisha kingo za mifereji ya maji kupunguza mrundikano wa maji.
Meneja wa utabiri wa hali ya hewa mkoani hapa, Seda Simon, alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na gazeti hili akisisitiza kuwa TMA imethibitisha kuwepo kwa mvua za el nino katika kipindi hicho.
Alisema mvua zinazotarajiwa kunyesha...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi03 Nov
TMA: Mvua za El-Nino zinakuja
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Tumejiandaa vipi kwa mvua za el nino
9 years ago
Mwananchi26 Aug
Serikali ijipange kukabili mvua za El Nino
9 years ago
Habarileo12 Sep
TMA wasisitiza kuwepo kwa mvua za el- Nino
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea kuwatahadharisha wananchi kuwa mvua kubwa za el-Nino zinatarajiwa kunyesha kuanzia wiki ya mwisho ya Septemba, mwaka huu na mwanzoni mwa mwezi Oktoba kama ilivyokuwa imetabiriwa kutokana na mifumo ya hali ya hewa kuzidi kuonesha hali hiyo.
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Mvua yaua sita Mwanza, Kagera
![Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakiangalia nyumba iliyoporomokewa na mwamba katika Mtaa wa Nyerere A Sinai-Mabatini jana.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/nyumba-mwanza.jpg)
Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakiangalia nyumba iliyoporomokewa na mwamba katika Mtaa wa Nyerere A Sinai-Mabatini jana.
SITTA TUMMA NA RENATHA KIPAKA
WATU sita wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika matukio mawili tofauti yaliyoambatana na mvua katika mikoa ya Mwanza na Kagera.
Katika tukio la jijini Mwanza, vilio na simanzi jana vilitawala kwa wakazi wa maeneo ya Sinai-Mabatini, baada ya vifo vya watu wanne wa familia mbili tofauti, vilivyotokana na mvua iliyosababisha miamba...
9 years ago
Mwananchi05 Sep
Mvua kubwa zaharibu nyumba, mazao Kagera
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/NILch8FjIRE/default.jpg)
Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali
Waumi ni wa pentekoste mkoani Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Watahadharishwa kuepuka magonjwa
WAKAZI wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa malaria ili kupunguza idadi ya vifo vya watoto na wajawazito. Kauli hiyo imetolewa jana na Kaimu...