Serikali ijipange kukabili mvua za El Nino
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imetoa tahadhari ambayo Serikali na taasisi zake zinapaswa kuifanyia kazi haraka iwezekanavyo. Mamlaka hiyo imesema Tanzania ni moja ya nchi kadhaa barani Afrika zitakazokumbwa na mvua za El Nino
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kagera watahadharishwa mvua za el nino
WANANCHI wanaoishi maeneo ya mabondeni mkoani Kagera wametahadharishwa juu ya mvua kubwa (el nino) inayotabiriwa kunyesha mwishoni mwa mwezi huu.
Kutokana na hali hiyo, wamehimizwa kusafisha kingo za mifereji ya maji kupunguza mrundikano wa maji.
Meneja wa utabiri wa hali ya hewa mkoani hapa, Seda Simon, alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na gazeti hili akisisitiza kuwa TMA imethibitisha kuwepo kwa mvua za el nino katika kipindi hicho.
Alisema mvua zinazotarajiwa kunyesha...
9 years ago
Mwananchi03 Nov
TMA: Mvua za El-Nino zinakuja
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Tumejiandaa vipi kwa mvua za el nino
9 years ago
Habarileo12 Sep
TMA wasisitiza kuwepo kwa mvua za el- Nino
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea kuwatahadharisha wananchi kuwa mvua kubwa za el-Nino zinatarajiwa kunyesha kuanzia wiki ya mwisho ya Septemba, mwaka huu na mwanzoni mwa mwezi Oktoba kama ilivyokuwa imetabiriwa kutokana na mifumo ya hali ya hewa kuzidi kuonesha hali hiyo.
10 years ago
Mwananchi12 Jul
MAONI : Serikali ijipange kuukabili upungufu fedha za Ukimwi
11 years ago
Habarileo25 Feb
Serikali kukabili tatizo la tabianchi
SERIKALI imesema bado inategemea fedha zaidi kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo ili kufanya mambo mengi zaidi katika kukabiliana na tatizo la tabianchi, ambalo kwa sasa limezikumba nchi nyingi duniani.
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Serikali yajipanga kukabili Ebola
SERIKALI imesema itahakikisha hakuna mwananchi atakayefariki kutokana na kukosa huduma katika vituo vya afya pindi atakapobanika kuwa na ugonjwa wa Ebola labda achelewe kufika katika vituo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Serikali yajipanga kukabili mafuriko
SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inakabiliana na matatizo ya mafuliko yanayojitokeza kipindi cha mvua katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi,...
11 years ago
Habarileo09 Aug
Serikali yaongeza nguvu kukabili ebola
SERIKALI imeongeza nguvu ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa ebola iwapo utatokea, kwa kuwapima wasafiri na wageni wanaoingia nchini kupitia viwanja vikubwa vitano vya ndege. Vipimo hivyo vitafanywa ili kubaini iwapo wana vimelea vya ugonjwa huo, kwa kutumia mashine za thermoscan zinazotarajiwa kuingia nchini wiki mbili zijazo.