Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumejiandaa vipi kwa mvua za el nino

Mvua zimeanza kutikisa maeneo ya Kanda ya Ziwa kama ilivyotabiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuwa kutakuwa na mvua za ukubwa zaidi ya matarajio katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Tumejiandaa vipi uchaguzi Serikali za Mitaa?

>Tangazo la Serikali siku chache zilizopita kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Desemba, mwaka huu limepunguza wasiwasi uliokuwa umegubika suala hilo. Kwa kawaida maandalizi ya uchaguzi huo ambao hufanyika kila baada ya miaka mitano, huanza mapema kutokan

 

9 years ago

Habarileo

TMA wasisitiza kuwepo kwa mvua za el- Nino

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea kuwatahadharisha wananchi kuwa mvua kubwa za el-Nino zinatarajiwa kunyesha kuanzia wiki ya mwisho ya Septemba, mwaka huu na mwanzoni mwa mwezi Oktoba kama ilivyokuwa imetabiriwa kutokana na mifumo ya hali ya hewa kuzidi kuonesha hali hiyo.

 

9 years ago

Raia Tanzania

Kagera watahadharishwa mvua za el nino

WANANCHI wanaoishi maeneo ya mabondeni mkoani Kagera wametahadharishwa juu ya mvua kubwa (el nino) inayotabiriwa kunyesha mwishoni mwa mwezi huu.

Kutokana na hali hiyo, wamehimizwa kusafisha kingo za mifereji ya maji kupunguza mrundikano wa maji. 
Meneja wa utabiri wa hali ya hewa mkoani hapa, Seda Simon, alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na gazeti hili akisisitiza kuwa TMA imethibitisha kuwepo kwa mvua za el nino katika kipindi hicho.  
Alisema mvua zinazotarajiwa kunyesha...

 

9 years ago

Mwananchi

TMA: Mvua za El-Nino zinakuja

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imewatahadharisha wananchi kuwa mvua kubwa za El-Nino zinatarajiwa kunyesha mwezi huu na Desemba, katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, Kanda ya Magharibi na Nyanda za Juu Kaskazini mashariki.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali ijipange kukabili mvua za El Nino

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imetoa tahadhari ambayo Serikali na taasisi zake zinapaswa kuifanyia kazi haraka iwezekanavyo. Mamlaka hiyo imesema Tanzania ni moja ya nchi kadhaa barani Afrika zitakazokumbwa na mvua za El Nino

 

10 years ago

Mwananchi

Tumejiandaa kisaikolojia na kura ya maoni?

Kazi ya Bunge Maalumu la Katiba imefikia kikomo, wamefanya walilofanya, kazi iliyobaki sasa ni kwa umma kuamua kuhusu hayo waliyopendekeza kama yamekidhi matakwa yao au la.

 

11 years ago

Mtanzania

Dk. Slaa: Tumejiandaa urais 2015

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

Na Esther Mbussi, Dar es Salaam

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema chama chake kimejipanga vizuri kukabiliana na mgombea yeyote wa urais atakayeteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu ujao.

Amesema kwamba, pamoja na CCM kubuni mbinu ya kupandikiza baadhi ya watu wanaoeleza jinsi wanavyotaka kuwania urais, Chadema hawatakurupuka kutangaza mgombea wao kwa sababu wanajua madhara ya...

 

9 years ago

Raia Mwema

Nchi imejiandaa vipi kwa mwaka 2016?

"UCHUMI mnao, lakini mmeukalia!” Utotoni nilipata kusikia redioni kauli hii ya Mwalimu .

Maggid Mjengwa

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Mafanikio ya elimu yanapimwa kwa vigezo vipi?

>Katika siku za hivi karibuni, Serikali imekuwa ikijigamba kuwa imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuimarisha sekta ya elimu nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani