Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Slaa: Tumejiandaa urais 2015

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

Na Esther Mbussi, Dar es Salaam

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema chama chake kimejipanga vizuri kukabiliana na mgombea yeyote wa urais atakayeteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu ujao.

Amesema kwamba, pamoja na CCM kubuni mbinu ya kupandikiza baadhi ya watu wanaoeleza jinsi wanavyotaka kuwania urais, Chadema hawatakurupuka kutangaza mgombea wao kwa sababu wanajua madhara ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Tulishinda urais 2010

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa kinaamini kilishinda uchaguzi wa rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 chini ya mfumo wa vyama vingi.

 

10 years ago

Mtanzania

Dk.Slaa asaka ubani wa urais Ulaya

DK-SLAANA MWANDISHI WETU, DAR
WAKATI vuguvugu la kusaka mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likishika kasi, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, ameondoka kwenda barani Ulaya kusaka ubani wa urais kwa muda wa siku nane.
Dk. Slaa ambaye amekuwa akitajwa kuwa anaweza kuteuliwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kugombea urais Oktoba mwaka huu kutokana na rekodi yake, anafanya ziara hii ikiwa ni ya pili baada ya ziara ndefu aliyoifanya hivi karibu nchini Marekani.
Taarifa...

 

10 years ago

Vijimambo

Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015



Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumejiandaa kisaikolojia na kura ya maoni?

Kazi ya Bunge Maalumu la Katiba imefikia kikomo, wamefanya walilofanya, kazi iliyobaki sasa ni kwa umma kuamua kuhusu hayo waliyopendekeza kama yamekidhi matakwa yao au la.

 

9 years ago

Mwananchi

Tumejiandaa vipi kwa mvua za el nino

Mvua zimeanza kutikisa maeneo ya Kanda ya Ziwa kama ilivyotabiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuwa kutakuwa na mvua za ukubwa zaidi ya matarajio katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Tumejiandaa vipi uchaguzi Serikali za Mitaa?

>Tangazo la Serikali siku chache zilizopita kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Desemba, mwaka huu limepunguza wasiwasi uliokuwa umegubika suala hilo. Kwa kawaida maandalizi ya uchaguzi huo ambao hufanyika kila baada ya miaka mitano, huanza mapema kutokan

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana, Slaa kujadili rais anayetakiwa 2015

Makatibu wakuu wa CCM, Abulrahman Kinana na Dk Willibrod Slaa wa Chadema kesho watashiriki katika mjadala wa rais wa Tanzania anayetakiwa kupitia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani