Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk.Slaa asaka ubani wa urais Ulaya

DK-SLAANA MWANDISHI WETU, DAR
WAKATI vuguvugu la kusaka mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likishika kasi, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, ameondoka kwenda barani Ulaya kusaka ubani wa urais kwa muda wa siku nane.
Dk. Slaa ambaye amekuwa akitajwa kuwa anaweza kuteuliwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kugombea urais Oktoba mwaka huu kutokana na rekodi yake, anafanya ziara hii ikiwa ni ya pili baada ya ziara ndefu aliyoifanya hivi karibu nchini Marekani.
Taarifa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DK. MALECELA ASAKA WADHAMINI KATIKA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS

 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwale Malecela  pichani kabla ya kuingia  katika chumba cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani ya Kiwanda cha Tanga Fresh ambaye ni mtoto wa Makamu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM. Dk. Mwale katika maisha yake mengi kwa zaidi ya miaka20 amekua mtumishu katika Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya...

 

10 years ago

GPL

DK. MALECELA ASAKA WADHAMINI KATIKA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS‏

 Dk. Mwale Malecela akizungumza na wananchi kupitia kituo cha Mwambao Radio.
 Dk. Mwale Malecela (kulia) akizungumza na wananchi kupitia kituo cha Mwambao Radio lilichopo Tanga eneo la Kange ndani ya Kiwanda cha Tanga Freshi, kushoto ni mtangazaji wa zam Jonas Msangi.  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwale Malecela  pichani kabla ya kuingia  katika… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa aenda ziarani Ulaya kupikwa

>Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ameanza ziara ya siku nane barani Ulaya ambako atashiriki mijadala kuhusu hali ya demokrasia na kukutana na jopo la wataalamu wa masuala ya uchumi kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika kupata mifumo sahihi na kujenga taasisi za kusaidia uwajibikaji na kusukuma maendeleo ya watu.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA AKIWA ZIARANI BARANI ULAYA

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibroad Slaa akiwa na Mshauri wa Masuala ya Uchumi, Sayansi na Maendeleo ya Jamii katika ulimwengu wa dijiti (digital), Dk. Mario Voigt, walipokutana Villa La Collina, Milan kwa ajili ya kujadiliana na kubadilishana uzoefu kuhusu namna bora ya kusimamia uchumi unaonufaisha wananchi hususan kwenye nchi zenye utajiri wa rasilimali lakini watu wake wanakabiliwa na umaskini, kama Tanzania. Dk. Voigt ni mtaalam katika eneo hilo,...

 

11 years ago

Mtanzania

Dk. Slaa: Tumejiandaa urais 2015

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

Na Esther Mbussi, Dar es Salaam

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema chama chake kimejipanga vizuri kukabiliana na mgombea yeyote wa urais atakayeteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu ujao.

Amesema kwamba, pamoja na CCM kubuni mbinu ya kupandikiza baadhi ya watu wanaoeleza jinsi wanavyotaka kuwania urais, Chadema hawatakurupuka kutangaza mgombea wao kwa sababu wanajua madhara ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Tulishinda urais 2010

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa kinaamini kilishinda uchaguzi wa rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 chini ya mfumo wa vyama vingi.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Friends of Simba watia ubani

Kundi la wanachama matajiri wa klabu ya Simba, Friends of Simba limevamia mazoezi ya klabu hiyo na kutia ubani maandalizi ya kuikabili Azam kesho.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kutafuna ubani ni haramu, wapi huko ?

Muanzilishi wa Singapore Lee Kuan Yew,aliyeaga dunia jumatatu aliharamisha utafunaji wa ubani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani