Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana, Slaa kujadili rais anayetakiwa 2015

Makatibu wakuu wa CCM, Abulrahman Kinana na Dk Willibrod Slaa wa Chadema kesho watashiriki katika mjadala wa rais wa Tanzania anayetakiwa kupitia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aongoza kikao kujadili Ilani ya CCM 2015-2020 Dodoma

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Rajab Luhwavi akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo aliendesha kikao maalum cha kamati kuu ya CCM kilichojadili na kupitisha ilani ya CCM 2015-2020..Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiipitia ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2015-2020 wakati wa kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM(CC) kilichoijadili na kuipitisha ilani hiyo leo jioni.Mwenyekiti wa CCM Rais...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa amlipua Kinana

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemshambulia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, kwamba anashabikia mfumo wa serikali mbili ili anufaike...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana abanwa, Nape ampiga kijembe Dk Slaa

Wananchi wa Kijiji cha Msisi katika Tarafa ya Mundemu, juzi walizuia kwa mabango msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapiduzi (CCM), Abdulrahman Kinana wakilalamikia shule yao kutelekezwa tangu 2011.

 

11 years ago

Mtanzania

Dk. Slaa: Tumejiandaa urais 2015

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

Na Esther Mbussi, Dar es Salaam

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema chama chake kimejipanga vizuri kukabiliana na mgombea yeyote wa urais atakayeteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu ujao.

Amesema kwamba, pamoja na CCM kubuni mbinu ya kupandikiza baadhi ya watu wanaoeleza jinsi wanavyotaka kuwania urais, Chadema hawatakurupuka kutangaza mgombea wao kwa sababu wanajua madhara ya...

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge sasa kujadili hotuba za Rais, Warioba

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa Mjumbe wa Bunge hilo, bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).HOTUBA iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete pamoja na ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zitajadiliwa bungeni baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuridhia ombi hilo lililotolewa na baadhi ya wajumbe.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete amekutana na Ukawa kujadili nini?

Licha ya Rais Jakaya Kikwete kuamua kwa dhati kuuanzisha mchakato wa Katiba, hali iliyopo sasa inaonekana haiendani na dhamira hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA UCHAGUZI MKIKIMKIKI 2015 WAZINDULIWA VYAMA VIKUU VYA SIASA KUJADILI SERA ZAO

TWAWEZA inatangaza uzinduzi wa midahalo iitwayo Mkikimkiki 2015. Midahalo hii imeanzishwa ili kutoa fursa na jukwaa kwa vyama vya siasa kunadi sera zao kwa wananchi. Aidha midahalo hii tawapa wananchi fursa ya kuwahoji na kuwapima wagombea na wataalamu wa vyama vikuu vya siasa.
Mfululizo huu wa midahalo umekuja wakati muafaka. Utafiti ulidhaminiwa na Twaweza, uligundua kuwa wananchi 8 kati ya 10 wanafikiri kuwa wagombea ubunge (78%) na urais (79%) wanapaswa kuwa na midahalo ya pamoja. Mbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani