Watahadharishwa kuepuka magonjwa
WAKAZI wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa malaria ili kupunguza idadi ya vifo vya watoto na wajawazito. Kauli hiyo imetolewa jana na Kaimu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Nov
Wamiliki Vituo Vya Watoto Yatima watahadharishwa kuepuka ulaghai Â
Wamiliki wa Vituo vya kulelea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu wametahadharishwa juu ya baadhi ya vituo hivyo kutumika kwa maslahi binafsi badala ya kutumika kuwasaidia watoto wenye uhitaji.
Tahadhari hiyo imekukuja huku serikali ikieleza kutowafumbia macho wamiliki wote wa vituo hivyo na wakibainika watachukuliwa hatua za kisheria.
Hayo yameelezwa na Afisa Ustawi wa jamii Mkoa wa Arusha Blandina Nkini wakati wa utoaji wa tuzo za vituo bora vya malezi ya watoto...
9 years ago
StarTV19 Nov
 Wakazi Njombe waaswa kusafisha mazingira ili kuepuka  Magonjwa Ya Mlipuko
Wakazi wa mkoa wa Njombe wamehimizwa kuhakikisha wanalinda mazingira kwa kufanya usafi katika makazi yao ili kujihadhari na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.
Ni rai ya mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi katika maadhimisho ya Wiki ya Mazingira ambayo yamefanyika kitaifa mkoani Njombe.
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Nchimbi amesema mkoa umepata sifa kubwa ya kuwa mwenyeji wa wiki ya maadhimishio hayo na kwamba iwe fursa wakazi hao kujifunza kuwa kielelezo cha usafi wa...
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Magonjwa ya moyo bado ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vingi Tanzania
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani, WHO zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania vilifikia idadi ya watu 19,083, au asilimia 4.33% ya idadi ya vifo vyote. Na takwimu hizo zilionyesha idadi ya wanaofariki ni watu 117.64 kati ya watu 100,000, na takwimu hizi zikiiweka Tanzania katika nafasi ya 87 ulimwenguni.
Magonjwa haya ya moyo yanasababisha vifo vipatavyo idadi ya watu milioni 12 kwa mwaka duniani kote. Hata hivyo shirika la Afya...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Mtwara watahadharishwa na dengue
WANANCHI mkoani Mtwara wametakiwa kuchukua tahadhari wanapomuona mtu yeyote mwenye dalili za ugonjwa wa homa ya dengue kwa kumuwahisha hospitali ili afanyiwe vipimo mapema kwani dalili zake kama zinafanana na...
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Waandishi wa habari watahadharishwa
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
JUKWAA la Wahariri (TEF), limewataka waandishi wa habari kuchukua tahadhari, hasa wakati huu wa uchaguzi kwa kufanya kazi zao kwa weledi na kuzingatia maadili ya taaluma yao.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Christopher Lissa, kudaiwa kupigwa wakati akipiga picha za watu wanaodaiwa kujifanya ni wanachama wa Chadema walioandamana kwenda makao makuu ya chama hicho kuunga mkono hotuba ya aliyekuwa Katibu Mkuu, Dk....
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jun
Watahadharishwa dhidi ya UKAWA
Na Chibura Makorongo, Shinyanga
WANACHAMA wa CCM na wananchi mkoani Shinyanga wametahadharishwa kutopotoshwa na kauli zinazotolewa na kikundi cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaopendekeza uwepo wa muundo wa serikali tatu.
Tahadhari hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa CCM mkoani Shinyanga, Adam Ngalawa, alipohutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Didia wilayani Shinyanga ambapo aliufananisha UKAWA na ndoa ya mkeka.
Ngalawa alisema UKAWA wamekuwa wakipita...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Wapinga mapinduzi watahadharishwa
JUMUIYA ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), imewataka wanaopinga mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 waache kufanya hivyo kwa kuwa yalileta ukombozi wa umma, kufuta matabaka na ubaguzi. Kauli...
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Wahandisi nchini watahadharishwa
10 years ago
BBCSwahili30 Apr
Burundi: Wanafunzi watahadharishwa