Wapinga mapinduzi watahadharishwa
JUMUIYA ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), imewataka wanaopinga mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 waache kufanya hivyo kwa kuwa yalileta ukombozi wa umma, kufuta matabaka na ubaguzi. Kauli...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Wasomi: Mapinduzi Z’bar yawe mapinduzi ya fikra
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jun
Watahadharishwa dhidi ya UKAWA
Na Chibura Makorongo, Shinyanga
WANACHAMA wa CCM na wananchi mkoani Shinyanga wametahadharishwa kutopotoshwa na kauli zinazotolewa na kikundi cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaopendekeza uwepo wa muundo wa serikali tatu.
Tahadhari hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa CCM mkoani Shinyanga, Adam Ngalawa, alipohutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Didia wilayani Shinyanga ambapo aliufananisha UKAWA na ndoa ya mkeka.
Ngalawa alisema UKAWA wamekuwa wakipita...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Mtwara watahadharishwa na dengue
WANANCHI mkoani Mtwara wametakiwa kuchukua tahadhari wanapomuona mtu yeyote mwenye dalili za ugonjwa wa homa ya dengue kwa kumuwahisha hospitali ili afanyiwe vipimo mapema kwani dalili zake kama zinafanana na...
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Wahandisi nchini watahadharishwa
10 years ago
BBCSwahili30 Apr
Burundi: Wanafunzi watahadharishwa
10 years ago
Mtanzania15 Sep
Waandishi wa habari watahadharishwa
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
JUKWAA la Wahariri (TEF), limewataka waandishi wa habari kuchukua tahadhari, hasa wakati huu wa uchaguzi kwa kufanya kazi zao kwa weledi na kuzingatia maadili ya taaluma yao.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Christopher Lissa, kudaiwa kupigwa wakati akipiga picha za watu wanaodaiwa kujifanya ni wanachama wa Chadema walioandamana kwenda makao makuu ya chama hicho kuunga mkono hotuba ya aliyekuwa Katibu Mkuu, Dk....
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Watahadharishwa kuepuka magonjwa
WAKAZI wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa malaria ili kupunguza idadi ya vifo vya watoto na wajawazito. Kauli hiyo imetolewa jana na Kaimu...
9 years ago
StarTV16 Nov
Wafanyakazi wa Serikali Shinyanga watahadharishwa
Wafanyakazi wa Serikali mkoani Shinyanga wametahadharishwa kuwa makini na utendaji wa Serikali ya awamu ya Tano kwa kuacha kufanya kazi kwa mazoea.
Mkuu wa mkoa huo Ally Nassoro Rufunga ametoa tahadhari hiyo wakati akiongea na wafanyakazi na taasisi katika mji wa Kahama mkoani Shinyanga katika ziara yake ya kikazi.
Rufunga anawataazalisha wafanyakazi wa Serikali mkoani hapa kuacha kufanya kazi kwa mazoea kwa Serikali awamu ya tano.
Anasema lengo la Serikali ya Mh Magufuli ni kuwatumikia...
10 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kagera watahadharishwa mvua za el nino
WANANCHI wanaoishi maeneo ya mabondeni mkoani Kagera wametahadharishwa juu ya mvua kubwa (el nino) inayotabiriwa kunyesha mwishoni mwa mwezi huu.
Kutokana na hali hiyo, wamehimizwa kusafisha kingo za mifereji ya maji kupunguza mrundikano wa maji.
Meneja wa utabiri wa hali ya hewa mkoani hapa, Seda Simon, alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na gazeti hili akisisitiza kuwa TMA imethibitisha kuwepo kwa mvua za el nino katika kipindi hicho.
Alisema mvua zinazotarajiwa kunyesha...