Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi: Mapinduzi Z’bar yawe mapinduzi ya fikra

Wakati Wazanzibari leo wakiadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi, wanasiasa na wasomi wametaka wananchi hao kufanya mikakati muhimu ya maendeleo na kuacha fikra mgando zinazoathiri maendeleo yao na nchi yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Miaka 50 ya Mapinduzi Z’bar yaadhimishwa kwa fikra tofauti

Wananchi wa Zanzibar leo wanaadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya visiwa hivyo yaliyouangusha utawala wa kisultan wakiwa na fikra tofauti.

 

11 years ago

Mwananchi

Tumejipangaje kuyalinda daima Mapinduzi Z’bar?

>Wiki iliyopita, Wazanzibari waliadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar. Mapinduzi haya ni moja kati ya matukio makubwa yaliyotokea miaka hamsini iliyopita.

 

9 years ago

Habarileo

Meli mpya Mv Mapinduzi II yatua Z’bar

MELI mpya ya Mv Mapinduzi (II) imewasili katika Bandari ya Zanzibar jana kwa ajili ya kuanza safari zake baada ya kukamilika kwa ujenzi wake nchini Korea Kusini.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisumo: Baraza la Mapinduzi Z’bar limeuawa kimyakimya

Moshi. Mwanasiasa wa siku nyingi, Peter Kisumo amesema Baraza la Mapinduzi Zanzibar aliloliacha Rais wa Kwanza wa visiwa hivyo, Abeid Aman Karume limeuawa kimyakimya.

 

10 years ago

Mwananchi

Z’bar sasa ijielekeze katika Mapinduzi ya kiuchumi

Wazanzibari jana waliadhimisha kumbukumbu ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa nderemo, vifijo na shamrashamra za kila aina. Siku hiyo hakika ni ya kukumbukwa, kwani miaka 51 iliyopita wananchi wa Zanzibar waliuangusha utawala dhalimu wa Kisultani uliokuwa ukiwakandamiza na kuwadhalilisha kwa miongo mingi katika nchi yao wenyewe.

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif kuleta mapinduzi ya kilimo Z’bar

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema chini ya uongozi wake atahakikisha anamjengea uwezo mkulima, kwa lengo la kumwezesha kuinuka kiuchumi.

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa Hamasa ya maendeleo pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020 kabla ya kuanza kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Mapinduzi ya elimu

Pg 1Na Aziza Masoud, Dar es Salaam

SERIKALI imetangaza kuwa itaanza kutoa elimu ya sekondari bure kuanzia Januari 2016, ili kila Mtanzania awe na elimu ya kidato cha nne katika miaka ijayo.
Imesema sambamba na kutoa elimu ya sekondari bure, sera mpya ya elimu na mafunzo inaelekeza utaratibu wa kupanga ada kwa shule binafsi ili kupunguza malalamiko ya wazazi ya kulipa fedha nyingi kwa elimu za awali.
Uamuzi huo wa serikali ulitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Rais Jakaya Kikwete, wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani