Burundi: Wanafunzi watahadharishwa
Serikali ya Burundi imewataka Wanafunzi kuondoka chuoni kutokana na kuzorota kwa hali ya usalama
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Watahadharishwa kuepuka magonjwa
WAKAZI wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa malaria ili kupunguza idadi ya vifo vya watoto na wajawazito. Kauli hiyo imetolewa jana na Kaimu...
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Wahandisi nchini watahadharishwa
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jun
Watahadharishwa dhidi ya UKAWA
Na Chibura Makorongo, Shinyanga
WANACHAMA wa CCM na wananchi mkoani Shinyanga wametahadharishwa kutopotoshwa na kauli zinazotolewa na kikundi cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaopendekeza uwepo wa muundo wa serikali tatu.
Tahadhari hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa CCM mkoani Shinyanga, Adam Ngalawa, alipohutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Didia wilayani Shinyanga ambapo aliufananisha UKAWA na ndoa ya mkeka.
Ngalawa alisema UKAWA wamekuwa wakipita...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Wapinga mapinduzi watahadharishwa
JUMUIYA ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), imewataka wanaopinga mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 waache kufanya hivyo kwa kuwa yalileta ukombozi wa umma, kufuta matabaka na ubaguzi. Kauli...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Mtwara watahadharishwa na dengue
WANANCHI mkoani Mtwara wametakiwa kuchukua tahadhari wanapomuona mtu yeyote mwenye dalili za ugonjwa wa homa ya dengue kwa kumuwahisha hospitali ili afanyiwe vipimo mapema kwani dalili zake kama zinafanana na...
10 years ago
Mtanzania15 Sep
Waandishi wa habari watahadharishwa
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
JUKWAA la Wahariri (TEF), limewataka waandishi wa habari kuchukua tahadhari, hasa wakati huu wa uchaguzi kwa kufanya kazi zao kwa weledi na kuzingatia maadili ya taaluma yao.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Christopher Lissa, kudaiwa kupigwa wakati akipiga picha za watu wanaodaiwa kujifanya ni wanachama wa Chadema walioandamana kwenda makao makuu ya chama hicho kuunga mkono hotuba ya aliyekuwa Katibu Mkuu, Dk....
10 years ago
StarTV08 Oct
Wananchi watahadharishwa kutoshabikia maandamano
Wakati vuguvugu la Kampeni za Uchaguzi likizidi kushika kasi kote nchini,Mgombea kiti cha uraisi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Pombe Magufuli amewaomba wananchi kuacha kushabikia maandamano ambayo kwa kiasi kikubwa yamesababisha uchumi kushuka katika maeneo mbalimbali nchini
Dokta Magufuli amesema kuwa suala la msingi ni kukichagua chama cha Mapinduzi CCM ambacho ndio chama pekee chenye dhamira ya kufanya mabadiliko katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukomesha...
10 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kagera watahadharishwa mvua za el nino
WANANCHI wanaoishi maeneo ya mabondeni mkoani Kagera wametahadharishwa juu ya mvua kubwa (el nino) inayotabiriwa kunyesha mwishoni mwa mwezi huu.
Kutokana na hali hiyo, wamehimizwa kusafisha kingo za mifereji ya maji kupunguza mrundikano wa maji.
Meneja wa utabiri wa hali ya hewa mkoani hapa, Seda Simon, alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na gazeti hili akisisitiza kuwa TMA imethibitisha kuwepo kwa mvua za el nino katika kipindi hicho.
Alisema mvua zinazotarajiwa kunyesha...