Wananchi watahadharishwa kutoshabikia maandamano
Wakati vuguvugu la Kampeni za Uchaguzi likizidi kushika kasi kote nchini,Mgombea kiti cha uraisi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Pombe Magufuli amewaomba wananchi kuacha kushabikia maandamano ambayo kwa kiasi kikubwa yamesababisha uchumi kushuka katika maeneo mbalimbali nchini
Dokta Magufuli amesema kuwa suala la msingi ni kukichagua chama cha Mapinduzi CCM ambacho ndio chama pekee chenye dhamira ya kufanya mabadiliko katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukomesha...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV15 Feb
Wananchi waishio pembezoni watahadharishwa juu ya Volcano.
Na Magesa Magesa,
Arusha.
Wananchi wanaoishi pembezo mwa mlima Meru mkoani Arusha wametakiwa kuchukua tahadhari kutokana na kuwepo kwa viashiria vya kulipuka kwa volcano katika mlima huo.
Tahadhari hiyo imetolewa na wadau wa utekelezaji wa mradi wa kimataifa wa kudhibiti majanga unaotekelezwa katika nchi zaidi ya mia moja duniani ikiwemo Tanzania ambapo inaelezwa kuwa Mlima Meru una volcano ambayo miaka ya nyuma iliwahi kulipuka na sasa upo uwezekano ikalipuka tena kwa miaka...
9 years ago
StarTV02 Nov
Wananchi Zanzibar watahadharishwa kutoshiriki kufanya fujo
Jeshi la polisi Zanzibar limewatahadharisha wananchi wa Zanzibar kutohamasika kufanya fujo kutokana na kauli za baadhi ya viongozi wa kisiasa kauli zinazoashiria uvunjifu wa amani.
Aida jeshi hilo linasema lipo tayari kwa hali yeyote kupambana na atakae ashiria kufanya vitendo vyya kuvunja amani kwa kisingizio cha kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar.
Kuhusu kauli ya katibu mkuu wa CUF kuwa atawachia wananchi kuamuwa wanavyotaka kutetea haki yao Jeshi linasema kauli hizo sio nzuri na...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-N0E995uYEuc/VlMM4ZyHphI/AAAAAAAIIA4/KK5hHIYXEZA/s72-c/6963c632-48de-4624-aa18-d001d66b589b.jpg)
wananchi watahadharishwa dhidi ya bidhaa feki za IVORI
![](http://4.bp.blogspot.com/-N0E995uYEuc/VlMM4ZyHphI/AAAAAAAIIA4/KK5hHIYXEZA/s320/6963c632-48de-4624-aa18-d001d66b589b.jpg)
Kampuni ya Ivori Iringa haijaubadilisha muonekano wa pipi zake wala Nembo yake,Hakikisha kila pipi unayonunua ina nembo halisi ya Ivori kutoka Iringa.kwa yeyote atakaenunua na Kutumia bidhaa zinazofananishwa na Pipi za...
10 years ago
Habarileo05 Jun
Viongozi wa dini watakiwa kutoshabikia siasa chafu
VIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kutojihusisha na kampeni chafu za siasa hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya nyumba za ibada.
10 years ago
MichuziKINANA AWAPONDA WAPINZANI KWA TABIA YAO YA KUANDAA MAANDAMANO BADALA YA MANDELEO YA WANANCHI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s72-c/DSC_1394.jpg)
KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s1600/DSC_1394.jpg)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Watahadharishwa kuepuka magonjwa
WAKAZI wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa malaria ili kupunguza idadi ya vifo vya watoto na wajawazito. Kauli hiyo imetolewa jana na Kaimu...
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Waandishi wa habari watahadharishwa
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
JUKWAA la Wahariri (TEF), limewataka waandishi wa habari kuchukua tahadhari, hasa wakati huu wa uchaguzi kwa kufanya kazi zao kwa weledi na kuzingatia maadili ya taaluma yao.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Christopher Lissa, kudaiwa kupigwa wakati akipiga picha za watu wanaodaiwa kujifanya ni wanachama wa Chadema walioandamana kwenda makao makuu ya chama hicho kuunga mkono hotuba ya aliyekuwa Katibu Mkuu, Dk....
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Wahandisi nchini watahadharishwa