Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wananchi watahadharishwa dhidi ya bidhaa feki za IVORI

Kampuni ya IVORI-IRINGA Inawataadharisha Wateja wake  Hususani Wasambazaji na Wauzaji wa Maduka ya Jumla na Reja reja kuwa, kumekuwepo na matapeli katika baadhi ya mikoa Nchini, Wakiuza bidhaa Feki kwa kutumia jina la pipi za Ivori kwa madai ya muonekano mpya wa bidhaa zetu.

Kampuni ya Ivori Iringa haijaubadilisha muonekano wa pipi zake wala Nembo yake,Hakikisha kila pipi unayonunua  ina nembo halisi ya Ivori kutoka Iringa.

kwa yeyote atakaenunua na Kutumia bidhaa  zinazofananishwa na Pipi za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ripoti: Bidhaa feki faida kwa Serikali hasara kwa wananchi

Tangu kuanzishwa kwa soko huria nchini, nchi nyingi duniani zimejikuta zikigeuzwa kuwa ;dampo’ la kutupa kila aina ya bidhaa hafifu kutoka katika nchi za Asia, Ulaya na Marekani.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watahadharishwa dhidi ya UKAWA


Na Chibura Makorongo, Shinyanga
WANACHAMA wa CCM na wananchi mkoani Shinyanga wametahadharishwa kutopotoshwa na kauli zinazotolewa na kikundi cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaopendekeza uwepo wa muundo wa serikali tatu.
Tahadhari hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa CCM mkoani Shinyanga, Adam Ngalawa, alipohutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Didia wilayani Shinyanga ambapo aliufananisha UKAWA na ndoa ya mkeka.
Ngalawa alisema UKAWA wamekuwa wakipita...

 

9 years ago

StarTV

Vijana wa CCM  watahadharishwa dhidi ya Vurugu

Vijana na wapenzi wa chama cha Mapinduzi  wametakiwa kujihadhari  na kujiepusha na vikundi vinavyoashiria kufanya fujo wakati wa uchaguzi hali ambayo inaweza kusababisha vurugu zitakazoharibu amani ya nchi.

Wanafahamishwa kwamba Uchaguzi ni hatua moja ya kujenga nchi kuelekea katika maendeleo hivyo si vyema wananchi wakaingia katika majaribu yatakayogharimu mustakbali wa maisha na nchi yao.

Akiwa katika kampeni za chama cha mapinduzi akiwanadi wagombea uwakilishi na madiwani katika jimbo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Bidhaa feki kudhibitiwa

Serikali ipo katika mkakati wa kuandaa sheria ya kuwabana wafanyabiashara wanao agiza na kuingiza bidhaa nchini zisizo na ubora.

 

9 years ago

StarTV

Wananchi watahadharishwa kutoshabikia maandamano

 Wakati vuguvugu la Kampeni za Uchaguzi likizidi kushika kasi kote nchini,Mgombea kiti cha uraisi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Pombe Magufuli amewaomba wananchi kuacha kushabikia maandamano ambayo kwa kiasi kikubwa yamesababisha uchumi kushuka katika maeneo mbalimbali nchini

Dokta Magufuli amesema kuwa suala la msingi ni kukichagua chama cha Mapinduzi CCM ambacho ndio chama pekee chenye dhamira ya kufanya mabadiliko katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukomesha...

 

11 years ago

Mwananchi

Bidhaa feki zamiminika Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, imekiri kuingizwa vifaa vya umeme na ujenzi vilivyo chini ya viwango vya ubora katika soko la ndani na kuathiri baadhi ya wananchi wanaotumia bidhaa hizo imefahamika.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheria ya faini bidhaa feki kurekebishwa

Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) inakusudia kuanza mchakato wa kuifanyia marekebisho sheria yake Septemba mwaka huu, ili kuiwezesha kutoza faini watu watakaopatikana na bidhaa bandia ama zisizokidhi viwango.

 

9 years ago

Mwananchi

TFDA kudhibiti bidhaa feki nchini

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeongeza vituo vya ukaguzi katika kanda sita ili kudhibiti uingizaji bidhaa feki nchi na kulinda afya za watumiaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani