Vijana wa CCMÂ watahadharishwa dhidi ya Vurugu
Vijana na wapenzi wa chama cha Mapinduzi wametakiwa kujihadhari na kujiepusha na vikundi vinavyoashiria kufanya fujo wakati wa uchaguzi hali ambayo inaweza kusababisha vurugu zitakazoharibu amani ya nchi.
Wanafahamishwa kwamba Uchaguzi ni hatua moja ya kujenga nchi kuelekea katika maendeleo hivyo si vyema wananchi wakaingia katika majaribu yatakayogharimu mustakbali wa maisha na nchi yao.
Akiwa katika kampeni za chama cha mapinduzi akiwanadi wagombea uwakilishi na madiwani katika jimbo la...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jun
Watahadharishwa dhidi ya UKAWA
Na Chibura Makorongo, Shinyanga
WANACHAMA wa CCM na wananchi mkoani Shinyanga wametahadharishwa kutopotoshwa na kauli zinazotolewa na kikundi cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaopendekeza uwepo wa muundo wa serikali tatu.
Tahadhari hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa CCM mkoani Shinyanga, Adam Ngalawa, alipohutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Didia wilayani Shinyanga ambapo aliufananisha UKAWA na ndoa ya mkeka.
Ngalawa alisema UKAWA wamekuwa wakipita...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-N0E995uYEuc/VlMM4ZyHphI/AAAAAAAIIA4/KK5hHIYXEZA/s72-c/6963c632-48de-4624-aa18-d001d66b589b.jpg)
wananchi watahadharishwa dhidi ya bidhaa feki za IVORI
![](http://4.bp.blogspot.com/-N0E995uYEuc/VlMM4ZyHphI/AAAAAAAIIA4/KK5hHIYXEZA/s320/6963c632-48de-4624-aa18-d001d66b589b.jpg)
Kampuni ya Ivori Iringa haijaubadilisha muonekano wa pipi zake wala Nembo yake,Hakikisha kila pipi unayonunua ina nembo halisi ya Ivori kutoka Iringa.kwa yeyote atakaenunua na Kutumia bidhaa zinazofananishwa na Pipi za...
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Vijana wazua vurugu Mbeya
Na Pendo Fundisha, Mbeya
KUNDI la vijana linalosadikiwa kuwa ni vibaka limeibuka na kufanya vurugu zilizoambatana na uvunjifu wa amani katika eneo la Soweto na Mwanjelwa jijini hapa.
Kutokana na hali hiyo, Polisi mkoani Mbeya walilazimika kutumia nguvu ya ziada kuwatawanya vijana hao ambao tayari walianza kuweka matairi, mawe na magogo kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam-Zambia katika eneo la Mwanjelwa.
Kabla ya vurugu hizo baadhi ya wafanyabiashara ambao walikuwa kwenye mgomo wa...
10 years ago
Habarileo30 Dec
‘Vijana msitumike katika vurugu’
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete amewataka vijana kuwa na msimamo na kutokubali kutumika katika vurugu zinazohatarisha amani na usalama wa nchi.
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Tunasubiri vurugu za vijana kugombea jezi
11 years ago
Habarileo14 Jul
UVCCM- Vijana Arusha acheni vurugu
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umewataka viongozi wadini, wazee wa mila na wazazi, kuwaonya vijana kuacha tabia ya kufanya vurugu, ambazo zinavuruga amani ya Jiji la Arusha.
11 years ago
Mwananchi07 May
Ndugai anusurika kipigo vurugu za vijana Kongwa
10 years ago
Habarileo04 May
Vijana wadai waliajiriwa kufanya vurugu Arusha
ZAIDI ya vijana 1,000 wanaodaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mjini hapa, wameandamana kupinga hatua ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ambaye pia ni kiongozi wa chama hicho, kutaka kugombea tena uwakilishi wa jimbo hilo.