Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM- Vijana Arusha acheni vurugu

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umewataka viongozi wadini, wazee wa mila na wazazi, kuwaonya vijana kuacha tabia ya kufanya vurugu, ambazo zinavuruga amani ya Jiji la Arusha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO

???????????????????????????????
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.

???????????????????????????????
Katibu wa UVCCM wilaya ya...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana wadai waliajiriwa kufanya vurugu Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless LemaZAIDI ya vijana 1,000 wanaodaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mjini hapa, wameandamana kupinga hatua ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ambaye pia ni kiongozi wa chama hicho, kutaka kugombea tena uwakilishi wa jimbo hilo.

 

11 years ago

GPL

MKURUGENZI WA KIWANDA CHA MONABAN CHA JIJINI ARUSHA ASIMIKWA KUWA KAMANDA WA VIJANA UVCCM MKOA

Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw. Philemon Mollel akiwa ameshililia ngao na mkuki ikiwa ni ishara ya kusimikwa rasmi kuwa kamanda wa vijana UVCCM Mkoa katika sherehe zilizofanyika juzi jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho. Bw. Philemon Mollel akivishwa taji.…

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA KIWANDA CHA MONABAN CHA JIJINI ARUSHA ASIMIKWA RASMI KUWA KAMANDA WA VIJANA UVCCM MKOA

003Makamu mwenyekiti UVCCM Taifa Mboni Mhita akimuapisha Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon Mollel kuwa kamanda wa vijana UVCCM Mkoa sherehe zilizofanyika juzi jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho 002Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon Mollel akiapa kuwa kamanda wa vijana UVCCM Mkoa sherehe zilizofanyika juzi jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho 001Mkurugenzi...

 

10 years ago

Habarileo

'Chadema acheni vurugu'

MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF) amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutobweteka kwa kupata majimbo mengi badala yake wakue kifikra kwa kuachana na vurugu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) yawaonya viongozi CCM mkoa kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao

KATIBU

Katibu Mkuu wa UVCCM Wilaya ya Mkalama Florian Panga akizungumza kwenye kikao hicho.

Na Hillary Shoo, MKALAMA.

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imewataka viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Singida kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao binafsi kwani kufanya hivyo ni kuleta mpasuko na makundi miongoni mwao.

Changamoto hiyo imetolewa Wilayani hapa na Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhani Kapeto wakati akifunga kambi ya vijana wa Wilaya ya Mkalama ya siku saba kwenye shule ya...

 

11 years ago

Habarileo

'Vijana acheni utumwa wa vyama vya siasa'

VIJANA nchini wametakiwa kuachana na utumwa wa majina ya vyama vya siasa nakuanza kutafakari mustakabali wa Taifa. Aidha vijana na wazee kwa maslahi ya taifa wanatakiwa kuachana na siasa ya majitaka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UVCCM: Vijana epukeni siasa za chokochoko

VIJANA nchini wametakiwa kuwaepuka wanasiasa wanaopandikiza chokochoko zinazoweza kuligawa na kuliingiza taifa katika misukosuko hatari na mapigano ya kijamii. Rai hiyo imetolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Sera ya Vijana wa EAC

 Mbunge kutoka Kenya Mhe. David Ocheng akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania.  Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Jesca Eriyo (kushoto) akitoa mada wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania. Kulia ni mwenyekiti wa Mkutano huo ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani