Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana wadai waliajiriwa kufanya vurugu Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless LemaZAIDI ya vijana 1,000 wanaodaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mjini hapa, wameandamana kupinga hatua ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ambaye pia ni kiongozi wa chama hicho, kutaka kugombea tena uwakilishi wa jimbo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

UVCCM- Vijana Arusha acheni vurugu

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umewataka viongozi wadini, wazee wa mila na wazazi, kuwaonya vijana kuacha tabia ya kufanya vurugu, ambazo zinavuruga amani ya Jiji la Arusha.

 

9 years ago

Mwananchi

RPC Arusha aonya makundi yanayotaka kufanya vurugu

Kamanda wa Polisi mkoa Arusha, Liberatus Sabas amesema jeshi hilo limebaini vikundi vilivyojipanga kufanya vurugu na akavitaka kuacha kutekeleza mpango huo.

 

9 years ago

Mwananchi

RPC aonya makundi yanayotaka kufanya vurugu Arusha

Kamanda Mkuu wa polisi mkoa Arusha, Liberatus Sabas amesema jeshi hilo limebaini uwepo wa vikundi vilivyojipanga kufanya vurugu na kuvionya kuacha mara moja.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWWZZZZ: VIJANA WANAODAIWA KUWA NI PANYA ROAD WAFUNGA MITAA JIJINI DAR NA KUFANYA VURUGU KUBWA.

 katika hali isiyo ya Kawaida na ya kuogopesha,kumeibuka taharuki kubwa usiku huu kwa Wakazi wa maeneo mbalimabali ya jiji la Dar,ikiwemo,Sinza,Kinondoni,Mwananyamala,Mabibo,Magomeni,Manzese,Kagera na Mburahati kwa kile kinachoelezwa kuwa vijana waitwao Panya Road wamevamia maeneo hayo na kuwajeruhi watu kwa vitu vyenye ncha kali,visu na mapanga na kuwapora vitu (mali zao) walivyokuwa navyo,kama vile haitoshi baadhi yao wamevunjiwa vioo vya magari yao.
Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Sera ya Vijana wa EAC

 Mbunge kutoka Kenya Mhe. David Ocheng akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania.  Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Jesca Eriyo (kushoto) akitoa mada wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania. Kulia ni mwenyekiti wa Mkutano huo ambaye...

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge akanusha kufanya vurugu kwenye ndege

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki Tanzania (EALA) Shy-Rose Bhanji amesema tuhuma dhidi yake zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii na magazeti mengine katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo, zimelenga kuchafua sifa yake, sababu kubwa akisema ni chuki dhidi ya watu wasioipenda misimamo yake ndani ya bunge hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Nyumba 12 zachomwa kwa tuhuma za kufanya vurugu

WAKAZI wa Kijiji cha Mingenyi, Kata ya Gehandu, wilayani Hanang’ mkoani Manyara, wamechoma nyumba 12 zinazoishi kaya 50 wakiwatuhumu kufanya vurugu wakati wa kurudiwa kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika eneo hilo.

 

10 years ago

Habarileo

‘Vijana msitumike katika vurugu’

Mama Salma KikweteMJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete amewataka vijana kuwa na msimamo na kutokubali kutumika katika vurugu zinazohatarisha amani na usalama wa nchi.

 

10 years ago

Mtanzania

Vijana wazua vurugu Mbeya

DSC00217Na Pendo Fundisha, Mbeya
KUNDI la vijana linalosadikiwa kuwa ni vibaka limeibuka na kufanya vurugu zilizoambatana na uvunjifu wa amani katika eneo la Soweto na Mwanjelwa jijini hapa.
Kutokana na hali hiyo, Polisi mkoani Mbeya walilazimika kutumia nguvu ya ziada kuwatawanya vijana hao ambao tayari walianza kuweka matairi, mawe na magogo kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam-Zambia katika eneo la Mwanjelwa.
Kabla ya vurugu hizo baadhi ya wafanyabiashara ambao walikuwa kwenye mgomo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani