Mbunge akanusha kufanya vurugu kwenye ndege
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki Tanzania (EALA) Shy-Rose Bhanji amesema tuhuma dhidi yake zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii na magazeti mengine katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo, zimelenga kuchafua sifa yake, sababu kubwa akisema ni chuki dhidi ya watu wasioipenda misimamo yake ndani ya bunge hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Nov
Adele akanusha kuwa aliwahi kukataa kufanya collabo na Beyonce
Wiki iliyopita jarida la Heat liliandika taarifa kuwa mwanamuziki wa Uingereza, Adele aliwahi kumkatalia Beyonce Knowles ombi la kufanya naye collabo, baada ya Bey kujaribu kumshawishi kwa mwaka mzima wafanye kazi.
Hit maker wa ‘Hello’, single iliyovunja rekodi mbalimbali amekanusha taarifa hizo.
Adele (27) amesema hawezi kumkosea heshima kiasi hicho Beyonce (34), kwasababu kwanza yeye ni shabiki wake.
“There’s a rumor going round that I turned Beyonce down. Just to clear up, I would never...
9 years ago
MichuziSHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA MFUMO MPYA WA KISASA WA USIMAMIZI WA MIZIGO KWENYE VIWANJA VYA NDEGE
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
9 years ago
StarTV06 Jan
Katibu wa Itikadi, Siasa, Uenezi Uyui akanusha Madai Ya Mbunge Kufungiwa
Katibu wa Itikadi, Siasa na uenezi wilaya ya Uyui mkoani Tabora Said Katalla amekanusha uvumi unaoenezwa kuwa Mbunge wa Chama cha Mapindizi jimbo la Tabora Kaskazini Almas Maige amefungiwa Ubunge kwa muda wa miezi sita.
Uvumi huo umeeleza kuwa Almas Maige amefungiwa ubunge kutokana na kukutwa na kashfa ya sakata la makontena 349 yaliyobainiwa na Waziri mkuu Kassim Majaliwa kuingizwa nchini kinyemela katika bandari ya Dar es Salaam bila kulipiwa kodi.
Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Uyui...
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Shirika la ndege la ETIHAD lazindua mfumo mpya wa kisasa wa usimamizi wa mizigo kwenye viwanja vyake vya ndege
Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
9 years ago
Bongo516 Sep
Barakah Da Prince akanusha madai ya nyimbo alizoandika mwenyewe kushindwa kufanya vizuri
10 years ago
GPLWAZIRI MEMBE AKANUSHA KUHUSU NDEGE YA RAIS WA CHINA KUBEBA PEMBE ZA NDOVU NA KUSEMA NI UONGO!
10 years ago
Habarileo26 Nov
Mbunge wa NCCR kortini kwa vurugu
MBUNGE wa Muhambwe, Kibondo mkoani Kigoma, Felix Mkosamali amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya hiyo, akikabiliwa na shitaka la kumzuia karani kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Desemba 14, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo25 Dec
Nyumba 12 zachomwa kwa tuhuma za kufanya vurugu
WAKAZI wa Kijiji cha Mingenyi, Kata ya Gehandu, wilayani Hanang’ mkoani Manyara, wamechoma nyumba 12 zinazoishi kaya 50 wakiwatuhumu kufanya vurugu wakati wa kurudiwa kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika eneo hilo.
10 years ago
Habarileo04 May
Vijana wadai waliajiriwa kufanya vurugu Arusha
ZAIDI ya vijana 1,000 wanaodaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mjini hapa, wameandamana kupinga hatua ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ambaye pia ni kiongozi wa chama hicho, kutaka kugombea tena uwakilishi wa jimbo hilo.