Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu wa Itikadi, Siasa, Uenezi Uyui akanusha Madai Ya Mbunge Kufungiwa

Katibu wa Itikadi, Siasa na uenezi wilaya ya Uyui mkoani Tabora Said Katalla amekanusha uvumi unaoenezwa kuwa Mbunge wa Chama cha Mapindizi jimbo la Tabora Kaskazini Almas Maige amefungiwa Ubunge kwa muda wa miezi sita.

Uvumi huo umeeleza kuwa Almas Maige amefungiwa ubunge kutokana na kukutwa na kashfa ya sakata la makontena 349 yaliyobainiwa na Waziri mkuu Kassim Majaliwa kuingizwa nchini kinyemela katika bandari ya Dar es Salaam bila kulipiwa kodi.

Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Uyui...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

HABARI ZA KAMATI KUU YA CCM KUMUWEKA KANDO KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU NAPE NNAUYE SI ZA KWELI

Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akiwa kwenye kikao cha Kamati Kuu Maalum leo tarehe 17 Agosti 2015,kinachoendelea kwenye Makao Makuu ya Chama,Ofisi Ndogo Lumumba.
Ndugu Msomaji, kuna taarifa za uongo zimeenezwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii zikisema kuwa Kamati kuu ya CCM imemuweka kando Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye kutoka katika nafasi hiyo na kumteua Ndugu John Chiligati kushika wadhifa huo.
Taarifa hizo si za kweli kwani Kamati kuu haijafanya...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI PROF. PARAMAGAMBA KABUDI AKUTANA NA KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA TAWI LA CCM LA DMV, WASHINGTON DC SALMA MOSHI NCHINI MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Katibu wa Siasa na Uenezi wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi (CCM) la DMV Washington DC, Ndugu  Salma Moshi walipokutana nchini Marekani, jana.

 

10 years ago

Habarileo

Makatibu wa Itikadi, Uenezi CCM wafundwa

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida.MAKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Kata za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kuwatumia marafiki zao waliopo katika vyama pinzani ili kuhakikisha hali ya kisiasa inaendelea kuimarika.

 

11 years ago

Dewji Blog

Njau: Itikadi za Siasa zisiwatenganishe

DSC09956

Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa wilaya ya Ikungi Jonathani Njau, akishikilia shilingi 1.5 milioni ambazo alichangia kwaya ya Agape ya kanisa la KKKT wilaya ya Ikungi.Katika harambee hiyo jumla ya zaidi ya shilingi 4.3 milioni zilikusanywa.

Na Nathaniel Limu

Mjumbe wa kamati kuu CCM (NEC) taifa wilaya ya Ikungi,Jonathan Njau  amewaasa waumini wa madhehebu mbalimbali ya dini wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, kutokubali kugawanywa na imani zao za kiitikadi za kisiasa, bali...

 

10 years ago

Mtanzania

Mchungaji: Tusichague viongozi kwa itikadi za siasa

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

KANISA la Babtist Tanzania limesema katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu Watanzania wanatakiwa kuchagua kiongozi  mwenye uwezo wa kuwatumikia wananchi bila kuangalia itikadi, kabila wala dini yake.

Kauli hiyo ilitolewa na Mwangalizi Mkuu wa Makanisa ya Babtist Tanzania, Mchungaji Anord Manase, wakati alipofungua  kongamano la wanawake wa Kibabtisti nchini lililofanyika Chuo Kikuu cha Mount Meru wilayani Arumeru mkoani hapa.

Akizungumza katika...

 

11 years ago

GPL

JOHARI AKANUSHA MADAI YA KUBATIZWA

MKONGWE wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedaiwa kubatizwa juzikati katika Kanisa Katoliki Nyalikungu wilayani Maswa, Simiyu lakini mwenyewe amekanusha. Mkongwe wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Chanzo makini kilichodai kushuhudia ubatizo, kilieleza kuwa Johari alifika Jumapili kanisani hapo na watu kuhoji kwa nini achelewe kubatizwa? Alipotafutwa na mwanahabari wetu, Johari...

 

9 years ago

BBCSwahili

Lamorde akanusha madai ya ufisadi

Mkurugenzi mkuu wa shirika la kupambana na ufisadi nchini Nigeria akanusha madai kuwa zaidi ya $5bn zimetoweka kutoka shirika hilo

 

5 years ago

CCM Blog

KATIBU WA UENEZI MKOA WA NJOMBE, NGOLE AWAPIGA MSASA MAKATIBU WENEZI WA KATA 16


 KATIBU wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe, Erasto Ngole maarufu kwa jina la Shikamoo Parachichi,  akisisitiza jambo wakati wa kikao na baadhi ya  Makatibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa Kata pamoja na makatibu Kata wa chama hicho kutoka Kata 16 za Wilaya ya Njombe, kuhusu wajibu wao na mikakati mbalimbali ya kuimarisha uhai wa chama katika Kata zao. Ngole amefanya vikao kama hicho katika wilaya ya Wanging'ombe. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
 Ngole ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani