KATIBU WA UENEZI MKOA WA NJOMBE, NGOLE AWAPIGA MSASA MAKATIBU WENEZI WA KATA 16
KATIBU wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe, Erasto Ngole maarufu kwa jina la Shikamoo Parachichi, akisisitiza jambo wakati wa kikao na baadhi ya Makatibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa Kata pamoja na makatibu Kata wa chama hicho kutoka Kata 16 za Wilaya ya Njombe, kuhusu wajibu wao na mikakati mbalimbali ya kuimarisha uhai wa chama katika Kata zao. Ngole amefanya vikao kama hicho katika wilaya ya Wanging'ombe. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
Ngole ambaye...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi10 years ago
Habarileo17 Aug
Makatibu wa Itikadi, Uenezi CCM wafundwa
MAKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Kata za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kuwatumia marafiki zao waliopo katika vyama pinzani ili kuhakikisha hali ya kisiasa inaendelea kuimarika.
11 years ago
Michuzi09 Feb
NEWS ALERT: CCM WASHINDA KATA ZOTE TATU MKOA WA IRINGA, CHADEMA YASHINDA NJOMBE MJINI
5 years ago
MichuziAliyewahi kuwa katibu wa CHADEMA mkoa wa Njombe atimkia CCM
Aliyewahi kuwa katibu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) mkoa wa Njombe aliyepokelewa nafasi hiyo kwenye chaguzi za ndani za chama hicho mwaka 2019 Ndugu Alatanga Nyagawa,Leo ametangaza kukihama chama hicho na kurejea CCM kwa madai ya kukosekana kwa ajenda ndani ya upinzani.
Vile vile Alatanga amesema hakuna ubishi kwamba Serikali ya awamu ya Tano imepiga hatua kubwa katika shughuli za maendeleo na upinzani umekosa ajenda.
Alatanga ambaye aliwahi...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA
11 years ago
MichuziMKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM
5 years ago
MichuziNjombe:CCM yazidi kuwapa mbinu za ushindi viongozi wa uenezi
Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimewaelekeza makatibu wa siasa na uenezi ngazi ya kata na wilaya zote mkoani humo, kuhakikisha wanaieleza jamii shughuli za maendeleo zinazoendelea kwenye maeneo yao ikiwa na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya chama.
Wito huo umetolewa na katibu wa siasa na uenezi wa chama cha Mapinduzi mkoa wa Njombe Ndg, Erasto Ngole alipokuyana na viongozi hao katika ofisi za chama wilaya ya Njombe,kupitia ziara ya kikazi anayoifanya...
11 years ago
GPLMKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM
10 years ago
Mwananchi04 May
Wasira awapiga kijembe wanaotambia shule za kata