Barakah Da Prince akanusha madai ya nyimbo alizoandika mwenyewe kushindwa kufanya vizuri
Baraka Da Prince amekanusha taarifa za watu wanaodai kuwa nyimbo anazoandika mwenyewe zinashindwa kufanya vizuri kuliko zile anazoandikiwa. Barakah ameiambia Planet Bongo ya EA Radio, kuwa hakuna nyimbo yake hata moja ambayo haijafanya vizuri. “Ukiona nyimbo yangu iliyosuasua, yaani kila kitu ni airtime, hakunaga kitu kibaya kwa watanzania, kitu wanachokisikia ndio kitu wanachokizoea na kukipenda,” […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo502 Feb
Barakah Da Prince: Nimejipanga kuendelea kufanya vizuri
9 years ago
Bongo510 Dec
Madee aeleza sababu za Mb Dogg kushindwa kufanya vizuri baada ya kuondoka Tip Top

MB Dogg ni miongoni mwa majina yaliyoshiriki kwenye kuichora ramani iliyotumika kwenye ujenzi wa kiwanda ya muziki wa Bongo fleva miaka kadhaa iliyopita. Hits zake kama Latifah, Si uliniambia, Inamaana na zingine zilimuweka kwenye nafasi za juu kipindi hicho akiwa chini ya Tip Top Connection.
Hivi sasa jina la MB Dogg liko kwenye orodha ya wasanii wa zamani walioshindwa kurudi na kukaa kwenye nafasi zao, na msanii mwenzake Madee wa Tip Top anaifahamu sababu iliyomkwamisha MB Dogg ashindwe...
10 years ago
Mtanzania22 Oct
Barakah Da Prince kujenga maktaba
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, ameamua kurudisha fadhila kwa kujenga maktaba ya kisasa, katika shule ya msingi aliyowahi kusoma inayoitwa Pamba iliyopo mkoani Mwanza.
Barakah alisema atatoa sehemu ya fedha zake zinazotokana na kazi yake ya muziki kwa ajili ya ujenzi wa maktaba hiyo na pia atafanya marekebisho madogo madogo kwenye majengo ya shule hiyo.
“Nimepata mafanikio kwenye muziki japo si mengi lakini nilichonacho nitakipeleka...
11 years ago
Michuzi19 Mar
introducing BARAKAH Da PRINCE na ' JICHUNGE'
10 years ago
GPL
10 years ago
Bongo502 Feb
New Video: Barakah Da Prince — Siachani Nawe
10 years ago
Bongo519 Jan
New Music: Barakah Da Prince — Siachani Nawe
10 years ago
Bongo502 Jul
Music: Qstar Ft. Barakah da Prince — Nimekosa
10 years ago
GPLBARAKAH DA PRINCE ATUA GLOBAL TV ONLINE LEO