Mbunge wa NCCR kortini kwa vurugu
MBUNGE wa Muhambwe, Kibondo mkoani Kigoma, Felix Mkosamali amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya hiyo, akikabiliwa na shitaka la kumzuia karani kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Desemba 14, mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Apr
Bodaboda 37 kortini kwa vurugu
WAENDESHA bodaboda 37, juzi walifikishwa katika mahakama ya mwanzo ya Mbeya mjini wakituhumiwa kufanya vurugu asubuhi ya siku hiyo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDo*ut8V51bGN2owlZWVoSzUqRTgzMNv4XKk1HebPZmCWtltjck6qEQ4ZiOtEc2phs0cGFmDdQRw*456nsIGX6df/6.jpg?width=650)
WAUMINI 30 WA KANISA LA MORAVIAN KORTINI KWA VURUGU
5 years ago
MichuziMBUNGE CHADEMA ATANGAZA KUWA KATIKA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2020 ATAGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA NCCR-MAGEUZI...
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini Anthony Komu(Chadema) amtengaza rasmi baada ya muda wake wa ubunge kumalizika kwa mujibu wa sheria basi ataachana na Chama hicho na kisha kujiunga na NCCR-Mageuzi ambacho ndicho atatumia kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2020.
Mbali na kutangaza msimamo wake wa kuondoka Chadema wakati utakapofika, komu ametumia nafasi hiyo kuelezea hatua kwa hatua mwenendo wake wa kisiasa ndani ya Chadema ambao uaonesha kwa...
9 years ago
Habarileo16 Sep
Mbunge avitabiria CUF, NCCR anguko
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuungana kwa vyama vinne ya siasa vya upinzani na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) hasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ni sawa na kujiua kisiasa na kukijenga zaidi Chadema.
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Mbunge kortini
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Takukuru yamburuza kortini mbunge wa E.A
10 years ago
Habarileo27 Oct
Mbunge akanusha kufanya vurugu kwenye ndege
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki Tanzania (EALA) Shy-Rose Bhanji amesema tuhuma dhidi yake zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii na magazeti mengine katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo, zimelenga kuchafua sifa yake, sababu kubwa akisema ni chuki dhidi ya watu wasioipenda misimamo yake ndani ya bunge hilo.
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Vurugu Machinga Complex zamgusa mbunge Zungu
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Mbunge kortini akidaiwa kuchoma bendera ya CCM
NA JANETH MUSHI, ARUSHA,
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema),
jana alifikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Maji ya Chai wilayani Arumeru kwa tuhuma za uharibifu wa mali.
Mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, David Mwita, ilidaiwa kuwa Mbunge huyo alitenda kosa hilo juzi jioni katika eneo la Maji ya Chai Kati, nje kidogo ya jiji la Arusha.
Ilidaiwa kuwa Nassari kwa makusudi alichoma bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokuwa na thamani ya Sh. 250,000, kitendo ambacho ni...