Mbunge kortini
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki (Chadema), Sylvester Kasulumbayi na Diwani wa Kata ya Buselesele, Crispian Kagoma na watu wengine 14 wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kujeruhi katika vurugu zilizoibuka katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Takukuru yamburuza kortini mbunge wa E.A
10 years ago
Habarileo26 Nov
Mbunge wa NCCR kortini kwa vurugu
MBUNGE wa Muhambwe, Kibondo mkoani Kigoma, Felix Mkosamali amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya hiyo, akikabiliwa na shitaka la kumzuia karani kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Desemba 14, mwaka huu.
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Mbunge kortini akidaiwa kuchoma bendera ya CCM
NA JANETH MUSHI, ARUSHA,
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema),
jana alifikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Maji ya Chai wilayani Arumeru kwa tuhuma za uharibifu wa mali.
Mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, David Mwita, ilidaiwa kuwa Mbunge huyo alitenda kosa hilo juzi jioni katika eneo la Maji ya Chai Kati, nje kidogo ya jiji la Arusha.
Ilidaiwa kuwa Nassari kwa makusudi alichoma bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokuwa na thamani ya Sh. 250,000, kitendo ambacho ni...
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Mbunge wa Kinondoni Atinga Kortini Kupinga Bomoabomoa Jimboni Kwake
![mtulia](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/mtulia.jpg)
![BOMOA (11)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/BOMOA-11.jpg)