Takukuru yamburuza kortini mbunge wa E.A
>Waliokuwa watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwamo aliyekuwa Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka hiyo ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Bernard Mrunya wamepandishwa kizimbani jana katika Mahakama ya Wilaya ya Karatu kujibu tuhuma mbalimbali zinazowakabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka wakati wakiwa watumishi katika mamlaka hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAMBURUZA KORTINI DAKTARI KWA TUHUMA YA RUSHWA
Na Godwin Myovela, Singida.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) Mkoa wa Singida imemburuza mahakamani Dkt. Abdul Sewando wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida (Mandewa) akituhumiwa kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mgonjwa kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jana kwenye ofisi za PCCB, Mkuu wa...
10 years ago
Dewji Blog09 Sep
IPTL yamburuza Zitto kortini
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.
Na Mwandishi wetu
KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na wengine wawili wakitaka kulipwa fidia ya shi bilioni 500 kwa kashfa alizotoa kimaandishi dhidi yao.
Mbali na IPTL, wengine waliofungua kesi hiyo Septemba 4, kupitia wakili Melchisedeck Lutema wa Asyla Attorneys na Kay Felician Mwesiga wa...
11 years ago
Habarileo14 May
Takukuru yambana Ekelege kortini
OFISA Uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Thadei Nzalalila, ameieleza Mahakama kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege alikiri kutoa msamaha wa ada ya utawala kwa kampuni mbili.
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Takukuru yambwaga Jaji Jonathan kortini
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lfge1iwbuug/XuC4sLsNVeI/AAAAAAALtUs/tYxh5iAE2TsuxAShis_n0uW6YcCKyYEHgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200520-WA0063.jpg)
TAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI AFISA BIASHARA SIMANJIRO
![](https://1.bp.blogspot.com/-lfge1iwbuug/XuC4sLsNVeI/AAAAAAALtUs/tYxh5iAE2TsuxAShis_n0uW6YcCKyYEHgCLcBGAsYHQ/s200/IMG-20200520-WA0063.jpg)
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu washtakiwa hao walisomewa mashtaka hayo na wakili wa TAKUKURU...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4Fu4MiRv518/Xt_U6_NZMlI/AAAAAAALtOc/bw3t1Bl9NWQgM9fr2r4l8ATey9XSPjkHgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200520-WA0063.jpg)
TAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI MWENYEKITI WA SOKO KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-4Fu4MiRv518/Xt_U6_NZMlI/AAAAAAALtOc/bw3t1Bl9NWQgM9fr2r4l8ATey9XSPjkHgCLcBGAsYHQ/s320/IMG-20200520-WA0063.jpg)
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu, Juni 9 mwaka huu, Songelaeli ameshtakiwa kwa kosa la kutoa rushwa ya shilingi 407,000 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Yefred...
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Mbunge kortini
10 years ago
Habarileo30 Apr
Mbunge Badwel huru,Takukuru washindwa kuthibitisha mashitaka
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni moja.
10 years ago
Habarileo26 Nov
Mbunge wa NCCR kortini kwa vurugu
MBUNGE wa Muhambwe, Kibondo mkoani Kigoma, Felix Mkosamali amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya hiyo, akikabiliwa na shitaka la kumzuia karani kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Desemba 14, mwaka huu.