Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Takukuru yambana Ekelege kortini

OFISA Uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Thadei Nzalalila, ameieleza Mahakama kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege alikiri kutoa msamaha wa ada ya utawala kwa kampuni mbili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mrithi wa Ekelege ‘amkaanga’ kortini

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Joseph Masikitiko ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa msamaha uliotolewa na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Charles Ekelege ulikiuka kanuni za fedha.

 

10 years ago

Mwananchi

Takukuru yamburuza kortini mbunge wa E.A

>Waliokuwa watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwamo aliyekuwa Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka hiyo ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Bernard Mrunya wamepandishwa kizimbani jana katika Mahakama ya Wilaya ya Karatu kujibu tuhuma mbalimbali zinazowakabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka wakati wakiwa watumishi katika mamlaka hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Takukuru yambwaga Jaji Jonathan kortini

>Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeibuka kidedea katika kesi ya madai ya fidia ya Sh700 milioni iliyokuwa imefunguliwa dhidi yake na Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu, Peter Jonathan.

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI AFISA BIASHARA SIMANJIRO

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara kwa kushirikiana na ofisi ya Taifa ya mashataka imemfungulia mashtaka Afisa biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Peter Paul Sanga na msaidizi wa hesabu wa mamlaka ya mji mdogo wa Mirerani Gothard Garfred Mbawala katika kesi ya uhujumu uchumi.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu washtakiwa hao walisomewa mashtaka hayo na wakili wa TAKUKURU...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAMBURUZA KORTINI DAKTARI KWA TUHUMA YA RUSHWA

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Singida, Adili Elinipenda, akizungumza na waandishi wa habari.
Na Godwin  Myovela,  Singida.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) Mkoa wa Singida imemburuza mahakamani Dkt. Abdul Sewando wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida (Mandewa) akituhumiwa kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mgonjwa kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jana kwenye ofisi za PCCB, Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI MWENYEKITI WA SOKO KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara, imemfikisha kwenye Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko la Mirerani, Yesaya Songelaeli Yindi kwa makosa ya rushwa. 
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu, Juni 9 mwaka huu, Songelaeli ameshtakiwa kwa kosa la kutoa rushwa ya shilingi 407,000 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Yefred...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yambana JK

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeitaka serikali ya Rais Jakaya Kikwete kutoa majibu ya maswali yaliyoulizwa na mwandishi wa gazeti la Daily Mail la nchini Uingereza kwa vielelezo, badala...

 

9 years ago

Global Publishers

Serikali ya Magufuli yambana Zari

ZARI47817 Zarinah Hassan ‘Zari’.

HAPA Kazi Tu! Serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli inazidi kuwanyoosha wakwepa kodi na sasa zamu ya utumbuaji majipu imemshukia Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tifah, kwa kutaka asiandae tamasha kama lile la Zari All White Party lililofanyika mwaka jana kufuatia kukiuka baadhi ya masharti yanayoendana na ukusanyaji wa mapato ya serikali kupitia matamasha ya sanaa ya muziki.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, mama Tiffah ametakiwa kutofanya shoo kama ile kutokana na ile ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ekelege akaangwa mahakamani

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Joseph Masikitiko, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa msamaha uliotolewa na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani