TAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI AFISA BIASHARA SIMANJIRO
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara kwa kushirikiana na ofisi ya Taifa ya mashataka imemfungulia mashtaka Afisa biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Peter Paul Sanga na msaidizi wa hesabu wa mamlaka ya mji mdogo wa Mirerani Gothard Garfred Mbawala katika kesi ya uhujumu uchumi.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu washtakiwa hao walisomewa mashtaka hayo na wakili wa TAKUKURU...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI MWENYEKITI WA SOKO KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu, Juni 9 mwaka huu, Songelaeli ameshtakiwa kwa kosa la kutoa rushwa ya shilingi 407,000 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Yefred...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Rushwa ya nyama yamfikisha kortini
MKAGUZI wa nyama katika machinjio ya Mitunduruni, Manispaa ya Singida, Edwin Mtae, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Singida kwa tuhuma za kupokea rushwa ya kilo 12 za...
10 years ago
Dewji Blog09 Apr
DC wa Kakonko alivutia kasi Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara
Mkuu wa wilaya ya Kakonko, Peter Toima akizungumza na mwandishi wa habari hizi (hayupo pichani).
Mahmoud Ahmad, Arusha
Joto la ubunge katika jimbo la Simanjiro mkoani Manyara limezidi kushika kasi mara baada ya mkuu wa wilaya ya Kakonko, Peter Toima kutamka ya kwamba endapo wakazi wa jimbo hilo watamshawishi na yeye kushawishika basi atafanya uamuzi mgumu wa kuchukua fomu kwa niaba yao muda ukiwadia.
Toima, alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipokutana na mwandishi wa habari hizi jijini...
10 years ago
MichuziTafrija ya polisi ya kuagana Mirerani wilayani simanjiro mkoani Manyara
10 years ago
Mwananchi14 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : Manyara (ii): Ngoma droo majimbo ya Kiteto, Mbulu na Simanjiro
9 years ago
VijimamboGHARIKA LA LOWASSA NDANI YA MJI WA MERERAJI, SIMANJIRO MKOANI MANYARA LEO
Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara wakionyesha furaha yao mbele ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati...
11 years ago
MichuziTaswira za PASAKA Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara
Familia ya...
9 years ago
Dewji Blog26 Sep
Lowassa aendeleza gharika ndani ya mji wa Mererani, Simanjiro mkoani Manyara
11 years ago
Michuziwakaazi wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoniani Manyara wachanga damu