Taswira za PASAKA Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara
.jpg)
Wanakwaya wa Mtakatifu Cecilia wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozali Takatifu wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiimba baada ya kumaliza misa ya Pasaka kanisani hapo leo asubuhi.
Padri Modestus Makiluli, wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozali Takatifu wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,akiendesha misa ya ubatizo na komuniyo kwenye kanisa hilo wakati wa sikukuu ya Pasaka leo
Familia ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
wakaazi wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoniani Manyara wachanga damu
.jpg)
11 years ago
MichuziTafrija ya polisi ya kuagana Mirerani wilayani simanjiro mkoani Manyara
9 years ago
MichuziAskari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.
11 years ago
Michuzi
KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI KITETO,LEO AELEKEA WILAYANI SIMANJIRO MKOANI MANYARA.



10 years ago
Vijimambo
GHARIKA LA LOWASSA NDANI YA MJI WA MERERAJI, SIMANJIRO MKOANI MANYARA LEO



Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara wakionyesha furaha yao mbele ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Lowassa aendeleza gharika ndani ya mji wa Mererani, Simanjiro mkoani Manyara


10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AUNGURUMA WILAYANI BUSANDA NA MJI MDOGO WA KATORO MKOANI GEITA LEO.

Ndugu Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia utekelezaji...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki afanya ukaguzi wilayani simanjiro
.jpg)
.jpg)
.jpg)
9 years ago
Michuzi
wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani kupinga kufungiwa migodi yao

