MBUNGE CHADEMA ATANGAZA KUWA KATIKA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2020 ATAGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA NCCR-MAGEUZI...
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini Anthony Komu(Chadema) amtengaza rasmi baada ya muda wake wa ubunge kumalizika kwa mujibu wa sheria basi ataachana na Chama hicho na kisha kujiunga na NCCR-Mageuzi ambacho ndicho atatumia kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2020.
Mbali na kutangaza msimamo wake wa kuondoka Chadema wakati utakapofika, komu ametumia nafasi hiyo kuelezea hatua kwa hatua mwenendo wake wa kisiasa ndani ya Chadema ambao uaonesha kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Jan
Mwanahabari Humphrey Kisika atangaza kumvaa Kayombo mbunge wa Mbinga Mashariki katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu
Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Humphrey Kisika (32).
Na Fredy Mgunda
Katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika octoba mwaka huu Afisa Habari na Mahusiano wilaya ya Iringa Hafley Kisika ametangaza kugombea ubunge katika jimbo la Mbinga mashariki kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM, ili kuleta maendeleo katika jimbo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari KISIKA amesema kuwa sababu inayompelekea kugombea ubunge katika jimbo hilo ni pamoja na kuleta siasa...
10 years ago
MichuziMBUNGE JAMESN MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
10 years ago
VijimamboMBUNGE JAMES MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
5 years ago
MichuziCHAMA CHA NCCR-MAGEUZI WAPO TEYARI KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHOCHOTE KATIKA UCHAGUZI WA 2020
Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiCHAMA cha NCCR-Mageuzi kipo tayari kushirikiana na chama chochote kwa kuzingatia maslahi ya mapana ya Tanzania nakuzingatia utaratibu unaokubalika kikatiba na kisheria katika mchakato wote wa kushiriki uchaguzi Mkuu wa 2020.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa...
10 years ago
Dewji Blog11 Mar
Frederick Fussi atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Songea Mjini kwa tiketi ya Chadema
Mgombea ubunge jimbo la Songea mjini kwa tiketi ya Chama cha Maendeleo (CHADEMA), Frederick Fussi akisisitiza jambo katika mkutano wake na waandishi habari.
OFISA Mshauri wa masuala ya Uchumi, Biashara na Uongozi Frederick Fussi ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Songea Mjini kupitia Chama hicho huku akielezea vipao mbele ambavyo atavitekeleza endapo akipewa ridha kutoka kwa wananchi.
Akizungumza na waandishi wa...
5 years ago
CCM BlogMBUNGE CHADEMA ATANGAZA KUHAMIA NCCRA MAGEUZI
Mbunge wa Jimbo la Rombo, Joseph Selasini, leo Aprili 28, 2020 ametangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiunga na chama cha NCCR-Mageuzi baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge.
Jana, Selasini alidai kutengwa na wabunge wenzake wa chama chake cha CHADEMA ikiwemo kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa chama hicho ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe
5 years ago
MichuziTUNDU LISSU ATANGAZA RASMI KUJITOSA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa yupo nje ya nchi Tundu Lissu ametangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka 2020.
Lissu ambaye amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu kwa nyakati tofauti amekuwa akionesha nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
10 years ago
MichuziMHE.DAVID KAFULILA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE TENA KATIKA JIMBO LA KIGOMA KASINI KUPITIA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Tanzania 2020: Chadema imepata nafasi kurudi katika umaarufu kuelekea uchaguzi mkuu?