Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vurugu Machinga Complex zamgusa mbunge Zungu

Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara ndogondogo wa Soko la Machinga Complex eneo la Karume wilayani Ilala na Mgambo wa Jiji, baada ya kuzuka vurugu baina yao zikimhusisha Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mbunge ‘Zungu’ aishukia serikali dhidi ya machinga, boda boda, mama ntilie

   awataka wabunge wengine wasije Dar es Salaam, wakae kwenye majimbo yao

zungu pics

Mbunge wa Ilala, Hassan Musa ‘Zungu’

Na Damas Makangale, Moblog Tanzania

MBUNGE wa Ilala,  Musa Hassan maarufu kama ‘Zungu’ leo asubuhi katika kikao cha Bunge la Bajeti kinachoendelea mjini Dodoma amekataa kuunga mkono Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu yenye makadirio ya kiasi cha shilingi trilioni tano.

Akizungumza kwenye kipindi cha  maswali na majibu ya ofisi ya Waziri Mkuu Bajeti ya  2014/2015, Mbunge Musa Hassan...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex

WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa  katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao  katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Hatujengi Machinga Complex’

Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam imesema haina mpango wa kujenga majengo makubwa ya biashara kama Machinga Complex, na badala yake iko kwenye mkakati wa kuanzisha vituo vidogo vya wafanyabiashara wadogo katika kila kituo cha daladala.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Machinga Complex kuboreshwa kuvutia wawekezaji

JENGO la kisasa la biashara lijulikanalo kama ‘Machinga Complex’, lililopo jijini Dar es Salaam muda wowote kuanzia sasa linatarajiwa kufanyiwa maboresho muhimu, ili kuleta mvuto zaidi wa kibiashara kwa bidhaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Machinga Complex yaungua kwa moto

Jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu ‘Machinga Complex’ lililopo Karume, jijini hapa limeungua moto wakati mafundi wakifanya matengenezo ya kupanua vizimba vya biashara katika ghorofa ya tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Machinga Complex ‘kuuzwa’ kwa wachina

Dar es Salaam. Jengo la Machinga Complex linatarajiwa kuuzwa kwa wafanyabiashara wa China kwa Sh86 bilioni na Manispaa ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kushindwa kulipa kodi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bodaboda, machinga wamponza Zungu

MBUNGE wa Ilala, Musa Azan ‘Zungu’ amehojiwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za uchochezi wa kutetea wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na waendesha bodaboda...

 

10 years ago

GPL

MOTO WAZUKA JENGO LA MACHINGA COMPLEX LEO

Moto waibuka jengo la Machinga Complex jijini Dar wazimwa kabla haujaleta madhara makubwa. 
Moshi ukiwa umetanda…

 

11 years ago

Mwananchi

Waathirika wa moto Karume wahamishiwe Machinga Complex

Kati ya changamoto kubwa zinazolikabili Jiji la Dar es Salaam ni uhaba wa masoko yenye miundombinu bora.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani