Bodaboda, machinga wamponza Zungu
MBUNGE wa Ilala, Musa Azan ‘Zungu’ amehojiwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za uchochezi wa kutetea wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na waendesha bodaboda...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Vurugu Machinga Complex zamgusa mbunge Zungu
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Machinga, bodaboda kuisulubu CCM
WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’, mamantilie, waendesha pikipiki ‘Bodaboda’ na walemavu jijini Dar es Salaam, wameapa kutokipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu mwakani. Wakizungumza kwa...
11 years ago
Dewji Blog08 May
Mbunge ‘Zungu’ aishukia serikali dhidi ya machinga, boda boda, mama ntilie
awataka wabunge wengine wasije Dar es Salaam, wakae kwenye majimbo yao
Mbunge wa Ilala, Hassan Musa ‘Zungu’
Na Damas Makangale, Moblog Tanzania
MBUNGE wa Ilala, Musa Hassan maarufu kama ‘Zungu’ leo asubuhi katika kikao cha Bunge la Bajeti kinachoendelea mjini Dodoma amekataa kuunga mkono Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu yenye makadirio ya kiasi cha shilingi trilioni tano.
Akizungumza kwenye kipindi cha maswali na majibu ya ofisi ya Waziri Mkuu Bajeti ya 2014/2015, Mbunge Musa Hassan...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex
WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...
10 years ago
MichuziJAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Urais wamponza Sitta
MWENENDO wa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, umeanza kutiliwa shaka huku baadhi ya wajumbe wenzake wakidai anateswa na dhambi ya unafiki. Sitta, ambaye aliongoza Bunge la Tisa...
11 years ago
Mwananchi13 Apr
‘U-CCM’ wamponza Dk. Michael
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Wimbo wa Lowassa wamponza
10 years ago
BBCSwahili25 Nov
Mdomo wamponza mwanamke Pakistan