Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urais wamponza Sitta

MWENENDO wa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, umeanza kutiliwa shaka huku baadhi ya wajumbe wenzake wakidai anateswa na dhambi ya unafiki. Sitta, ambaye aliongoza Bunge la Tisa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makundi ya urais yamtisha Sitta

USHINDI wa Samuel Sitta kuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, umeanza kuwatia hofu wabaya wake kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na sasa ameundiwa zengwe la kumchafua. Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta: Kingwangalla anataka urais

 Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alitumia nafasi yake kulitangazia Taifa kwamba mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla ni miongoni mwa vijana watakaowania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani.

 

10 years ago

Michuzi

NINATAKA URAIS WA MIAKA MITANO-SITTA

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii, Tabora.
Waziri wa Uchukuzi,Samwel Sitta amesema kuwa anataka Urais wa miaka mitano kuweza kuivusha nchi katika kutokana na mambo yanayoonekana ikiwamo muungano,udini ,ungezeko la vijana.
Sitta ameyasema hayo leo wakati akitangaza nia ya kugombea urais katika mkutano uliofanyika katika viwanja  vya Ikulu ya Chifu Fundikira Kata ya Itetemia  mkoani Tabora.
Amesema mtu  yeyote makini ana nafasi ya Urais, hana budi   kuyapima mazingira ya taifa katika miaka mitano...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta: Huu ni mtaji wangu wa urais

>Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema anasubiri kukamilika kwa utaratibu wa CCM wa kugombea urais ili aingie rasmi kwenye mbio hizo kwa kuwa anaridhika na mambo matatu ambayo anasema yanamfanya ashawishike kugombea nafasi hiyo ya juu katika siasa nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta atangaza nia ya urais ‘kiaina’

 Dodoma/Dar. Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema kati ya waliojitokeza na wanaotajwa kuwania urais, hakuna ambaye anaweza kupambana na kuikataa rushwa na kwamba muda ukifika ataweka hadharani nia yake.

 

10 years ago

Habarileo

Migiro ajitosa urais, Sitta kurudisha fomu

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro.WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Vijimambo

MH. SAMUEL SITTA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

Mheshimiwa Samweli Sitta akitangaza nia mbele ya umati wa wananchi katika uwanja wa Ikulu ya Unyanyembe katika manispaa ya Tabora. 
Mheshimiwa Samuel Sitta leo hii alitangaza rasmi nia yake kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Alitangaza nia yake hiyo mbele ya mamia ya wakazi wa kata ya Itetemia, Tabora mjini na wilaya za jirani na mji wa Tabora.Akieleza sababu tano zilizomfanya atangaze nia yake ambazo ni 
1.Muungano
Toka pande zetu mbili za muungano zinatolewa kauli na pia...

 

11 years ago

Mtanzania

Sitta adaiwa kutumia Bunge la Katiba kusaka urais

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA ELIZABETH HOMBO

MBUNGE wa Mkanyageni, Habib Mnyaa (CUF) amesema Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, anataka kulitumia Bunge la Katiba kwa nia ya kufanikisha dhamira yake ya kutaka urais.

Mnyaa alisema ni jambo la kushangaza kuona Sitta akihangaika kusaka suluhu na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Akizungumza na MTANZANIA Jumatano, Mnyaa alisema ni jambo lisiloingia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani