Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta adaiwa kutumia Bunge la Katiba kusaka urais

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA ELIZABETH HOMBO

MBUNGE wa Mkanyageni, Habib Mnyaa (CUF) amesema Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, anataka kulitumia Bunge la Katiba kwa nia ya kufanikisha dhamira yake ya kutaka urais.

Mnyaa alisema ni jambo la kushangaza kuona Sitta akihangaika kusaka suluhu na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Akizungumza na MTANZANIA Jumatano, Mnyaa alisema ni jambo lisiloingia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sitta akana kutumia #Bunge la Katiba kusaka Urais 2015, ajipigia debe kiaina[VIDEO]

Wakati joto la Urais mwakani likizidi kuongezeka nchini, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samwel Sitta ameweka wazi kuwa hana nia ya kuwania Urais kwa kutumia kigezo cha kuongoza Bunge hilo maalum.

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya


MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel  Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.


Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.


Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Bunge Maalum la Katiba kuendelea — SITTA

2 (1)

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis  akizungumza na waandishi wa habari  jana (hawapo pichani) kuhusu  kuendelea kwa  Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti  wa Bunge hilo, Samuel Sitta   katika ukumbi wa mikutano  wa ofisi ndogo za Bunge  jijini  Dares Salaam.

3

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza  Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari jana  (hawapo pichani) kuhusu  kuendelea kwa  Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta ahaha kulinusuru Bunge Maalumu la Katiba

>Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta anahaha kulinusuru Bunge hilo, baada ya wajumbe ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia vikao vinavyoendelea mjini Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta yu msalabani, kuongoza Bunge Maalumu la Katiba?

>Mkanganyiko pekee na uliobakia kwa Watanzania  wakiwamo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ni viporo kwenye kanuni za 37 na 38, vinginevyo hali ya hewa ndani ya Bunge hilo imetulia.

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta apata wapinzani uenyekiti Bunge la Katiba

Wakati Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akichukua kwa mbwembwe fomu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba jana, wajumbe wengine watatu nao wamejitokeza kuwania nafasi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta vs Chenge: Nani mwenyekiti wa kudumu Bunge la Katiba?

Miongoni mwa wanaotajwa kuwa na sifa ya kushika wadhifa huo ni Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Urambo Mashariki, Samwel Sitta.

 

11 years ago

Michuzi

Mkipuuza kanuni, tusilaumiane,' Sitta alionya Bunge la Katiba

Courtesy of Mwananchi Communications Limited (MCL)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani