Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta: Huu ni mtaji wangu wa urais

>Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema anasubiri kukamilika kwa utaratibu wa CCM wa kugombea urais ili aingie rasmi kwenye mbio hizo kwa kuwa anaridhika na mambo matatu ambayo anasema yanamfanya ashawishike kugombea nafasi hiyo ya juu katika siasa nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!

Rapper Mabeste ameshare kile alichoita “ukweli wa kuuguwa kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!” Mabeste akiwa na mke wake Lisa na mtoto wao Kendrick Hivi karibuni rapper huyo alielezea kwa kirefu jinsi mke wake Lisa Karl Fickenscher alivyougua kwa muda mrefu mara baada ya kujifungua mtoto wao Kendrick, kiasi cha kufikiri […]

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

10 years ago

Vijimambo

KWA MTAJI HUU NDUGU ZETU PALE TANZANIA TUTAENDELEA KUWAPOTEZA SIKU HADI SIKU

 Hii inaonyesha kuwa madereva wa Tanzania siyo watu wenye kuelewa umuhimu wa uhai wa abiria.Unaweza kuona hapa line za katikati zinaonyesha kabisa utakiwi kufanya hili unaloliona hapa 

 

10 years ago

Vijimambo

HUU NI UJUMBE WANGU KWAKO

UKITENGENEZA MAISHA YAKO USIMSAHAU Mama, Daima Usimdharau Mama, mpende Mama na umtunze sana Mama. Mvumilie sana kwa mapungufu yoyote yale utakayoyaona kwake, hayupo alie mkamilifu kwa% Kumbuka MIEZI 9 ulikaa ndani ya tumbo la Mama, MIAKA 2 au zaid ulikunywa kilicho kifuani mwa Mama!. Kitanda chako kilikua miguu yake, Bembea yako ilikua mgongo wake, na mikojo kwa kadri ulivyo jisikia. Alikubali kuumia ili wewe upate kukua, kila siku uamkapo na ulalapo muombee mama.

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu: Napenda Kuangalia ‘Utumbo’ Wangu Kama Huu

Nime Mute hii Video kwa Sababu Maalum Mara nyingi Huwa napenda kuangalia utumbo wangu Kama huu nikiona kuna watu wanajifanya wamevurugwaaa unavurugwa Leo 2015 kweli!?

Watu tulishakuwa machizi yani mpk milembe tuna Gate pass ya bure, sema inafika pahala unajitambua na unaona hakuna faida ya kubaki ulipowahi kuwa...sasa mnavyojifanya mmevurugwa sio kama hatuwaoni...tunawaona sana sema tunaamua kuwa wajinga coz tumeshatoka huko mlipo..!
Between....huyo hairstyle lazima ni ya mchepuko wa Baba...

 

11 years ago

GPL

SITTA HUU NDIYO WAKATI MUAFAKA

KAMA inavyokuwa siku zote, siwezi kusema lolote na nyinyi pasipo kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kufika hapa tulipo leo. Yeye ndiye bingwa wa miujiza na hakika kwake, hakuna lisilowezekana. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba, Mh. Samuel John Sitta . Baada ya kusema hayo, niwashukuru sana Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Jaji Joseph Sinde Warioba kwa hotuba zao nzuri walizozitoa mbele ya Bunge...

 

9 years ago

Vijimambo

MCHANGO WANGU WA MAWAZO KWA WA TANZANIA WAKATI HUU WA UCHAGUZI WA 2015.

Kwa viongozi wa ngazi zote, kwa wanasiasa, waumini au washilika wa madhehebu mbali mbali, wafanyakazi wa ngazi zote,wakulima,wafanyavyashala,wanafunzi,watu wa lika zote,wagombea viti mbali mbali n.k. Ndugu na lafiki zangu wa Tanzania, mimi naitwa CHARLES M.KAROLI wa Canada.Kama mtu ambaye niliwahi kuishi Tanzania kama mkimbizi zaidi ya myaka 15 na kukaa katika kambi tofauti mikoani ya Kigoma na Kagera na kutembea ktk mikoa mbali mbali pamoja na kujifunza mambo mengi kwa wa Tanzania ndugu na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Urais wamponza Sitta

MWENENDO wa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, umeanza kutiliwa shaka huku baadhi ya wajumbe wenzake wakidai anateswa na dhambi ya unafiki. Sitta, ambaye aliongoza Bunge la Tisa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makundi ya urais yamtisha Sitta

USHINDI wa Samuel Sitta kuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, umeanza kuwatia hofu wabaya wake kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na sasa ameundiwa zengwe la kumchafua. Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani