Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUU NI UJUMBE WANGU KWAKO

UKITENGENEZA MAISHA YAKO USIMSAHAU Mama, Daima Usimdharau Mama, mpende Mama na umtunze sana Mama. Mvumilie sana kwa mapungufu yoyote yale utakayoyaona kwake, hayupo alie mkamilifu kwa% Kumbuka MIEZI 9 ulikaa ndani ya tumbo la Mama, MIAKA 2 au zaid ulikunywa kilicho kifuani mwa Mama!. Kitanda chako kilikua miguu yake, Bembea yako ilikua mgongo wake, na mikojo kwa kadri ulivyo jisikia. Alikubali kuumia ili wewe upate kukua, kila siku uamkapo na ulalapo muombee mama.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kendrick Lamar ana ujumbe huu kwako; ‘Hard Work’ – (Video)!

Najua nina watu wangu ambao ni mashabiki wakubwa wa muziki wa Kendrick Lamar, kama wewe ni mmoja wapo basi ipokee hii brand new video kutoka kwake. Clip inaitwa ‘Hard Work’ na ndani rapper anaonekana akimshauri rafiki yake kwenye mazingira tofauti umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii… Ujumbe huu unaweza kukufa na wewe pia mtu wangu. […]

The post Kendrick Lamar ana ujumbe huu kwako; ‘Hard Work’ – (Video)! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo5

Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!

Rapper Mabeste ameshare kile alichoita “ukweli wa kuuguwa kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!” Mabeste akiwa na mke wake Lisa na mtoto wao Kendrick Hivi karibuni rapper huyo alielezea kwa kirefu jinsi mke wake Lisa Karl Fickenscher alivyougua kwa muda mrefu mara baada ya kujifungua mtoto wao Kendrick, kiasi cha kufikiri […]

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta: Huu ni mtaji wangu wa urais

>Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema anasubiri kukamilika kwa utaratibu wa CCM wa kugombea urais ili aingie rasmi kwenye mbio hizo kwa kuwa anaridhika na mambo matatu ambayo anasema yanamfanya ashawishike kugombea nafasi hiyo ya juu katika siasa nchini.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Napenda Kuangalia ‘Utumbo’ Wangu Kama Huu

Nime Mute hii Video kwa Sababu Maalum Mara nyingi Huwa napenda kuangalia utumbo wangu Kama huu nikiona kuna watu wanajifanya wamevurugwaaa unavurugwa Leo 2015 kweli!?

Watu tulishakuwa machizi yani mpk milembe tuna Gate pass ya bure, sema inafika pahala unajitambua na unaona hakuna faida ya kubaki ulipowahi kuwa...sasa mnavyojifanya mmevurugwa sio kama hatuwaoni...tunawaona sana sema tunaamua kuwa wajinga coz tumeshatoka huko mlipo..!
Between....huyo hairstyle lazima ni ya mchepuko wa Baba...

 

10 years ago

Raia Mwema

Serikali imesikia ujumbe huu wa Ukimwi?

MWISHONI mwa wiki iliyopita, mkutano mkubwa wa wanasayansi na mashirika makubwa ya kimataifa yana

Ezekiel Kamwaga

 

10 years ago

Bongo Movies

Huu ndiyo Ujumbe wa JB Kwa Wachepukaji

Kadri unavyo jitahidi kuitunza na kuijali nyumba ndogo...ndivyo unavyo hatarisha ndoa yako..Sababu namba mbili wote hutamani kuwa namba moja..Tafakari chukua hatua...Michepuko sio dili....

By Jacob Stephen ‘JB’ @ jb_jerusalemfilms on instagram

 

9 years ago

Bongo Movies

Ujumbe Huu wa Ray Umewagusa Wengi

Mkali wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara kadhaa amekuwa akiandika ujumbe mbali mbali kwenyekupitia ukurasa wake mtandaoni kuhusu maisha kwa ujumla.

Ray

Ray

Kila mtu amekuwa akizichukulia jumbe hizo kwa namna anavyofikiria yeye mwenyewe lakini huu wa leo umewakuna wengi.

Ray ameandika;

“Katika maisha unapoamua kuwa na mtu ni kwa maisha yako usihitaji mtu kwa ajili ya watu na usipende kuishi kwa macho ya watu hata shetani alikataa mbingu na Mungu hakuilaani mbingu alimlaani yeye...

 

10 years ago

Vijimambo

UJUMBE WANGU KWA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KATIKA KUELEKEA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 25

Lucy Patrick
Kalamu yangu mdomo wangu leo nataka nizungumze na wanahabari wenzangu waandishi na wataangazaji pia nataka mjue kwambaa karama hii au kipaji hiki tumepewa sio kwamba sisi tulistahili sana kuliko wengine hapana  ni kwamba tuliaminiwa kwamba tunaweza kutumia midomo yetu na kalamu zetu katika kusema na kuandika ukweli ili tuweze kuelimisha,kutoa habari na hata kuburudisha ikiwezeekana naomba niwashauri tutumie karama zetu vizuri tuache ushabiki ambao hautakuwa na manufaa yeyote kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani